Wema: Van vicker alichangia niachane na Diamond

Wema: Van vicker alichangia niachane na Diamond

Women like Wema Sepetu are not looking for the right man to marry. They are looking for the right man to divorce.
Ova
 
mmh mama ubaya acha uongo looh, followers wote ulioanao ndomo aone likes za van vicker tu? mmh tupishe apa , mwaka mpya huu tunataka swaga mpya naona bado hujajipanga

Haha haaaa, warumi I wish madame angekua anakusoma humu?
 
Last edited by a moderator:
Muongo huyo anatoka na wazee ambao ni waume za watu na wengine viongozi wa nchi.

Hana bwana wa kuinyeshea analeta uongo aliotia chumvi labda hata Dai hakusema yote hayo.

Aliambiwa amuache eti nyota anamletea bahati mbaya kuwa Dai bila yeye awezi kusonga mbele.

Sasa na akamuacha Dai mara uyoooo anasonga mbele na ma trip kibao ya kikazi nje ya nchi.

So wivu umemjaa haswa alipopata a woman zaidi yake kwa sura, mwili, na pesa zake za biashara kichwani.

Haya na gari lile bmw jeupe kapewa na babushee kweli wema unategemea boyfriend afurahie gari unapewa na mbaba na upo nae na unaficha?

Si umemuacha ukaenda china first class na pesa za babu bwana ako.


Van vicker mume wa mtu nae i guess hajakutongoza imekuuma. Ana heshima zake huyo kaka.
 
Kumbe uki-like picha za instagram za warembo huwa wanawaambia maboifriends zao?
 
watajaza kurasa za sababu lakini Chibu ameshawa-prove wrong wale wote waliokuwa wanaamini eti anatembelea nyota ya Wema! Yaani mtu anayeachia ngoma kila wakati atembelee nyota ya msanii ambae hata kazi yake ya mwisho imetoka lini haifahamiki....

Point taken
 
hana jipya huyo kwani van vicker ndo alimfata china?ndo alinunua BMW pyeeee
 
hana jipya huyo kwani van vicker ndo alimfata china?ndo alinunua BMW pyeeee

C tukisema mnasema oh wanawake haturidhiki cjui nn, wapo wengi tu hata huku mtaani tunao sema kwakua wema ni maarufu ndo maana anaonekana shetani, bac ajaribu kwa Lulu au star mwingine aone, hata huyo zari cdhani km tunamfahamu vzr lkn ipo cku nae mtakuja kumuona co, kwan mnajua kwa nn mmewe waliachana? Wanawake wanapenda mambo ya siri na gizani,rafiki yao mkuu ni shetani hata huku kwetu wapo sema washkaji wamekausha tu wanakufa na maumivu yao. Ss wema alikua anakosa nn kwa Dai? Alitaka awe anamhonga milioni kwa mwezi ndo atulie? Dai bado umri unaruhusu ningemshauri awatumie tu ktk starehe zake na aangalie biashara zake hadi pale mungu atakapo mjalia ambae atamfaa.
 
As far as I can remember, hio connection ya kufanya na Van Vicker movie alii set diamond, way before hawajaachana.. Zile safari za nigeria na ghana zilizaa matunda mengi zaidi ya Numbet one remix...
Sasa shigongo anakuja na uharo wake huu...
 
According to wema

Alimtumia van msg through insta direct

Ndipo walipoanzia


As far as I can remember, hio connection ya kufanya na Van Vicker movie alii set diamond, way before hawajaachana.. Zile safari za nigeria na ghana zilizaa matunda mengi zaidi ya Numbet one remix...
Sasa shigongo anakuja na uharo wake huu...
 
Dada achana na watu west africa. Be careful tht guy is a play boy she could use na ikawa basi .
 
Back
Top Bottom