Wema: Van vicker alichangia niachane na Diamond

Wema: Van vicker alichangia niachane na Diamond

Dada achana na watu west africa. Be careful tht guy is a play boy she could use na ikawa basi .

wema ndo unampa ushauri huu?
Wadhan atakuelewa basi?
We tafuta siti uangalie movie hii inakoelekea
 
Maneno ya mkosaji hayo,mbona wengine walompa magari na vitu vyengine hajasema kwa Diamond? aende zake uko atabakia kuigawa kama pipi chamsingi atulie tuuuuuuuuu.
 
Muongo huyo anatoka na wazee ambao ni waume za watu na wengine viongozi wa nchi.

Hana bwana wa kuinyeshea analeta uongo aliotia chumvi labda hata Dai hakusema yote hayo.

Aliambiwa amuache eti nyota anamletea bahati mbaya kuwa Dai bila yeye awezi kusonga mbele.

Sasa na akamuacha Dai mara uyoooo anasonga mbele na ma trip kibao ya kikazi nje ya nchi.

So wivu umemjaa haswa alipopata a woman zaidi yake kwa sura, mwili, na pesa zake za biashara kichwani.

Haya na gari lile bmw jeupe kapewa na babushee kweli wema unategemea boyfriend afurahie gari unapewa na mbaba na upo nae na unaficha?

Si umemuacha ukaenda china first class na pesa za babu bwana ako.

Van vicker mume wa mtu nae i guess hajakutongoza imekuuma. Ana heshima zake huyo kaka.

Nitonye huyo babu wa bmw ni nani?
 
hana jipya huyo kwani van vicker ndo alimfata china?ndo alinunua BMW pyeeee

mama ubaya anapenda kujiweka level ambazo sio zake, sasa van vicker anahusikaje apa? kaka wa watu ata habar nae hana ye kutwa kujishaua nfyuu stress tu zinamsumbua
 
As far as I can remember, hio connection ya kufanya na Van Vicker movie alii set diamond, way before hawajaachana.. Zile safari za nigeria na ghana zilizaa matunda mengi zaidi ya Numbet one remix...
Sasa shigongo anakuja na uharo wake huu...

jamni wema si ndo kasema hvyo? alihojiwa na soudy brown ndo akajiropokea huo upuuzi, na yeye eti anajifanya anatoka na van vicker, anapenda mambo makubwa huyu
 
jamni wema si ndo kasema hvyo? alihojiwa na soudy brown ndo akajiropokea huo upuuzi, na yeye eti anajifanya anatoka na van vicker, anapenda mambo makubwa huyu

Hahahaha
 
Nitonye huyo babu wa bmw ni nani?

Itabidi labda tusubiri alewe then aropoke au hao wanaomzunguka wakigombana...
Ila huyu W kweli kila kitu yeye ni anahongwa hata nyumba. Yaani hana alichosotea kupata zake ni wababu walio waume wa watu. Nasubiria kusomaga au kusikia anaringia alichovuna yeye mwenyewe.
 
badala ya kukazana kuwafikia akina genevieve au tonto dikeh yeye anawaza wanaume tu eti anataka kujifanya eti anatoka na van vicker... loh anapenda wanaume huyu nfyuuu
 
pumzika wewe binamu, wengine hatujamchoka

Kweli wacha nipumzike , nikiona topic zao natoka Ndukii , Nimepita kwa Bi Asinta nako yaleyape Zarimond yaani Binafsi Naboreeeeeka ! vipi ishu za mwanamitindo anayeolewa ! Wanaokula bata UAE hivi eheee nazitafuta hamziweki
 
uwiiii ebu nitoe tongo tongo mie...mwanamitindo gani tena wa uko dubai?? maana huu msimu wa christmas na mwaka mpya nimewaona mastaa wengi uku dubai ata sijui wamefuata nini, ebu nipe umbea kidogo nipekenyue
 
Mama wawili
 
Itabidi labda tusubiri alewe then aropoke au hao wanaomzunguka wakigombana...
Ila huyu W kweli kila kitu yeye ni anahongwa hata nyumba. Yaani hana alichosotea kupata zake ni wababu walio waume wa watu. Nasubiria kusomaga au kusikia anaringia alichovuna yeye mwenyewe.

Hivi na umiss alihongwa na uncle lundenga?
 
Dai yupo anatanua na zarinah the boss lady,we jiongelesheeee utoe na kitabu,maana ushakua ni historiaaa

Hebu cheki toto hilooo linawaka kama taa...
 
Attachments

  • 1420473694139.jpg
    1420473694139.jpg
    45.8 KB · Views: 159
  • 1420473712429.jpg
    1420473712429.jpg
    35.6 KB · Views: 145
Back
Top Bottom