kichunafk
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 992
- 479
Dada achana na watu west africa. Be careful tht guy is a play boy she could use na ikawa basi .
wema ndo unampa ushauri huu?
Wadhan atakuelewa basi?
We tafuta siti uangalie movie hii inakoelekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada achana na watu west africa. Be careful tht guy is a play boy she could use na ikawa basi .
mhh haya umeniotaje
Muongo huyo anatoka na wazee ambao ni waume za watu na wengine viongozi wa nchi.
Hana bwana wa kuinyeshea analeta uongo aliotia chumvi labda hata Dai hakusema yote hayo.
Aliambiwa amuache eti nyota anamletea bahati mbaya kuwa Dai bila yeye awezi kusonga mbele.
Sasa na akamuacha Dai mara uyoooo anasonga mbele na ma trip kibao ya kikazi nje ya nchi.
So wivu umemjaa haswa alipopata a woman zaidi yake kwa sura, mwili, na pesa zake za biashara kichwani.
Haya na gari lile bmw jeupe kapewa na babushee kweli wema unategemea boyfriend afurahie gari unapewa na mbaba na upo nae na unaficha?
Si umemuacha ukaenda china first class na pesa za babu bwana ako.
Van vicker mume wa mtu nae i guess hajakutongoza imekuuma. Ana heshima zake huyo kaka.
As far as I can remember, hio connection ya kufanya na Van Vicker movie alii set diamond, way before hawajaachana.. Zile safari za nigeria na ghana zilizaa matunda mengi zaidi ya Numbet one remix...
Sasa shigongo anakuja na uharo wake huu...
jamni wema si ndo kasema hvyo? alihojiwa na soudy brown ndo akajiropokea huo upuuzi, na yeye eti anajifanya anatoka na van vicker, anapenda mambo makubwa huyu
Nitonye huyo babu wa bmw ni nani?
pumzika wewe binamu, wengine hatujamchoka
Kweli wacha nipumzike , nikiona topic zao natoka Ndukii , Nimepita kwa Bi Asinta nako yaleyape Zarimond yaani Binafsi Naboreeeeeka ! vipi ishu za mwanamitindo anayeolewa ! Wanaokula bata UAE hivi eheee nazitafuta hamziweki
anasomaga mbona? mama ubaya anapendaga sana umbea yule ujue?
Mama wawiliuwiiii ebu nitoe tongo tongo mie...mwanamitindo gani tena wa uko dubai?? maana huu msimu wa christmas na mwaka mpya nimewaona mastaa wengi uku dubai ata sijui wamefuata nini, ebu nipe umbea kidogo nipekenyue
Itabidi labda tusubiri alewe then aropoke au hao wanaomzunguka wakigombana...
Ila huyu W kweli kila kitu yeye ni anahongwa hata nyumba. Yaani hana alichosotea kupata zake ni wababu walio waume wa watu. Nasubiria kusomaga au kusikia anaringia alichovuna yeye mwenyewe.
Hivi na umiss alihongwa na uncle lundenga?
Dai yupo anatanua na zarinah the boss lady,we jiongelesheeee utoe na kitabu,maana ushakua ni historiaaa