Wema we mkali bana, nimependa color yako ya sasa ivi kitu natural color, huyu ndiyo wema tuliyokuwa tukimtaka sasa, siyo yule wa ma wigi na rangi ambayo haieleweki. Nyie mnaomuita wema mama ubaya aya wekeni na nyie picha zenu mkinyoa upara halafu tuone, kama hatujakimbiana.
Teh yes si anatumia calenda ya ethiopia ambao kule kwao sasa hivi ni mwaka 2006.
Heee ingiaa youtube ujionee my shoes
Mwenzangu yamenikuta aiseeh, ila nimerud na speed 360 ya mwanzo cha mtoto
yap I'm backiiii