Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Huyu bidada haba choice y wanaume naona kila daraja kapita nalo kifuatacho atakua n dreva wa bajaj mana gari atauza soon
best andikaga vizuri zaidi............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bidada haba choice y wanaume naona kila daraja kapita nalo kifuatacho atakua n dreva wa bajaj mana gari atauza soon
Sijamsikia nae..........hata sijui yuko wapi
Kwamba eti ya kupigwapigwa na wanaume
hahaaa na unaona ilivoandikwa sasa chezea kiingilish
Jumbe naona aliooa , niliona picha ya harus kwaDada yake Aisha jumbe ambaye alikuwa shoga sana na wema na ndiy waliesaidiana kupasua kioo cha gari la marehem kanumba miaka hyoo , so nadhan ni mume ya mutu now kama hajarud kwenye uteja
Kwel madam majanga mpka teja hivi nae c alionja sembe au mana anakauchizi flani kma kajuzi pale gpl
Mrembo by Nature yupo Zenji anasherehekea Karume day.Mbona hadi muuza chipsii ashawah pitaaa hapo kwa madame muulize mrembo by nature anajuaa kila kitu
Mrembo by Nature yupo Zenji anasherehekea Karume day.
Mrembo by Nature yupo Zenji anasherehekea Karume day.
nimerudi mchana huu
Welcome back mamii.. tulikumis kijiweni
Hapa nipo kama sipo shouger angu...Igwee obasanjo ametupiga mkwara kuhusu sawala la siwema so inabidi tujifiche fiche la sivyo bisto ya kiuno inahusika...umbea kazi kweli kweli
Hahahahaaaa...acha tu shots nimesoma kwa master nimecheka Sana.
Lol mjini raha Sana.
Jamanii kwa hiyo utakuta mchizi kakubali kumegewaa etii ili wachune pesaa mjini msingi kiunoo
Jumbe naona aliooa , niliona picha ya harus kwaDada yake Aisha jumbe ambaye alikuwa shoga sana na wema na ndiy waliesaidiana kupasua kioo cha gari la marehem kanumba miaka hyoo , so nadhan ni mume ya mutu now kama hajarud kwenye uteja
Heaven on Earth mwambie Gossipcopwarumi atuletee umbea wa Siwema na ObasanjoKumbe thanks for the info bunamu
Heaven on Earth mwambie Gossipcopwarumi atuletee umbea wa Siwema na Obasanjo
Ile si mlisoma kwa usipojipanga au mnataka muendelezo mambo yanoge vizur maana labda kuna watu wanajua zaidi