Wema we mzuri bana even without make up

Wema we mzuri bana even without make up

Mikono imechoka, I mean wanaume wote alikua kua nao wako tofautitofauti kimatabaka nw atachukua dreva bajaj incase akifulia apate pakujishika
 
Sijamsikia nae..........hata sijui yuko wapi

Jumbe naona aliooa , niliona picha ya harus kwaDada yake Aisha jumbe ambaye alikuwa shoga sana na wema na ndiy waliesaidiana kupasua kioo cha gari la marehem kanumba miaka hyoo , so nadhan ni mume ya mutu now kama hajarud kwenye uteja
 
Kwel madam majanga mpka teja hivi nae c alionja sembe au mana anakauchizi flani kma kajuzi pale gpl
 
Mbona hadi muuza chipsii ashawah pitaaa hapo kwa madame muulize mrembo by nature anajuaa kila kitu
 
Welcome back mamii.. tulikumis kijiweni

Hapa nipo kama sipo shouger angu...Igwee obasanjo ametupiga mkwara kuhusu sawala la siwema so inabidi tujifiche fiche la sivyo bisto ya kiuno inahusika...umbea kazi kweli kweli
 
Hahahahaaaa...acha tu shots nimesoma kwa master nimecheka Sana.
Lol mjini raha Sana.
 
Jamanii kwa hiyo utakuta mchizi kakubali kumegewaa etii ili wachune pesaa mjini msingi kiunoo
 
Jumbe naona aliooa , niliona picha ya harus kwaDada yake Aisha jumbe ambaye alikuwa shoga sana na wema na ndiy waliesaidiana kupasua kioo cha gari la marehem kanumba miaka hyoo , so nadhan ni mume ya mutu now kama hajarud kwenye uteja

Kumbe thanks for the info bunamu
 
Back
Top Bottom