Wema, Zari kuonana 'live' kwenye arobaini ya Nillan

Nyie wenzenu wanaingiza ela hiyo 40 yenyewe ina wadhamini karibia kampuni 7.
1. gsm
2. Clouds
3. Voda
4. Babyshop
Na mengine matatu majina yamenitoka kaangalieni matangazo anayoweka instagram.
Jamaa anaingiza ela nyie bishaneni tu
And by the way kaalika watu wengi akina t.i.d, babu wa kitaa, recho, kajala, qchief, wasanii wengi wamealikwa akiweno paul makonda sijui watatazamanaje na watu wake
 

we jamaa ni mwanaume kweli samahani lakini maana maona mada zako uwa za umbeya tu
 
Ila Wema nae alivyo utashangaa akienda hata Nillan atasahaulika itakua Wema hivi Wema vile yani tafrani..mwenzetu nae sijui ana kizizi cha kuonekana woiii
 
Watu tunapenda watu wawe maadui kila siku ili tupate la kuongea.

Diamond alishasema hana shida na wema, na wema pia alishasema hana shida na mondi.
eeh hata ka tunaapenda umbea sio kwa level hii ya uchochezi,watu wamesema hawana tatizo wabongo tunaanza kukumbusha ya nyuma eti alimuita mwenzie tasa duh, yan natama nipasue mtu na nyundo ya uso mfyuu
 
Umeona ehhh.... huyo mwanamke aliongea maneno mabaya sana. Leo hii eti ana roho nzuri....
Binadamu wanafki sanaaa....
Au ndo kumchora kama huko gerezan alitokwa na mapele ili apate jingne la kusema....
Umesaha wema na tim yake walivyokua wanatamani afie leba?kw taarifa yako wenzako bifu lilishaisha siku nyingi nyie ma hater na wivu wenu ndio mnalazimisha...habari mnayo wema anatia tim siku y 40 .....mnalo hilo na roho zenu mbaya..eti zari mnafiki hahahha wema ndio mnafiki nani alianza kujipendekez kw mwenzie? Si wema alimiwish tifah happy birthday mwezi wa nane? Au sio wema hahahhaha lako hilo bibi weee cha unafik ni wewe ambaye hupens amani..mnataka watu wagombane kisa roho zenu mbaya...
 
Siyo kila anayekukosea na ukamsamehe uendelee kuwa naye karibu kwenye maisha yako. Wengine wanakuwa ni kikwazo kwenye mafanikio yako. Wema kama kumsamehe Zari sidhani kama ukaribu naye unatakiwa. Huyu mwanamke ni mnafki sana. Period
Toka lini wema na zari wakawa marafik? kwanza wanaingilaje ye kasema han tatzo nae sio wawe rafiki,?mama tee kasema htak poison kwenye relationship yake
 
wabongo unafik na uchawi na uchanganishi ndo fani zetu,sikushangai.ssa ulitk wagomban mpl lin
Shangaaa na wewe...hao team wema ndio wanafiki wakubwa kutwa kucha kumfanya wema aonekane mbaya halafu wanajifanya wanampenda.....na wao ndio chanzo cha wema kugombna na wengine..
 
Ila Wema nae alivyo utashangaa akienda hata Nillan atasahaulika itakua Wema hivi Wema vile yani tafrani..mwenzetu nae sijui ana kizizi cha kuonekana woiii
utasikia wema kaenda na hiriz tiffah anaumwa na nilan anaharisha mavi ya kijani
 
Wewe ndo manager wake??
Afu hilo POVU...[emoji36] [emoji36] [emoji36]
sina nguo chafu za kufua....
 
Wewe ndo manager wake??
Afu hilo POVU...[emoji36] [emoji36] [emoji36]
sina nguo chafu za kufua....
Hahahhahahaaa sio swali......huwez pata nguo za kufua wakat umepewa majibu mubashara..habari unayo
 
Unaweza kusikia hii habari inaongelewa bungeni maana nchi imejaa vituko hii. We subiri tu. Maana mawaziri wa Magufuli wote akili zao ni sawa na Bongo movie tu
 

Sema wewe mwaya. Naona watu wamekazana kupondea as if huyo Wema hakuwahi kumtukana Zari. Huyo Wema angekua ni wa maana hivyoo angekua anatengeneza more money than Diamond and Zari. Hiyo brand ya Wema haina hadhi na hivi alivyoswekwa lupango kwa hizi tuhuma hakuna kampuni yenye akili timamu yenye hadhi itamfanya brand ambassador. Akina Dai na Zari naona wamechoka mabifu yasio na maana.
 
Sasa dangote anashindwa
Kwenda kumwekea dhamana
Ex wake aseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…