herry msagati
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 293
- 199
Nyimbo ina siku 5 views million 1 eti imebuma peleka ya yule ndugu yako wa kkoo tuone, bado kijana una roho mbaya ukifikisha miaka 50 lazima uwe mchawiUshaona baada ya kuona marry you yao inabuma
[emoji6] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wanafikiii huyooo labor ward ambassador wenu..wabongo unafik na uchawi na uchanganishi ndo fani zetu,sikushangai.ssa ulitk wagomban mpl lin
Nyota gani iyo Dada angu[emoji6] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wanafikiii huyooo labor ward ambassador wenu..
kick zimegoma wanataka kusafiria nyota ya wema
nahisi binamu wamekutuma uje kuwatufutia kick.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] umenichekesha mkuu kweli bana ile kichwa haiko xawa,eti wema mibangi!!![emoji12] [emoji12]Halafu kimasihara Liwema linaeza enda eti..
Full nundaaa...
Unaposema "wasingekuja"Aisee kwa nini wasingekuja mahakamani sasa
Usipoweka kinyongo na ukiwa wa kufurahia furaha za wenzako utakuwa na maisha mazuri sana hapa duniani.Huyu aliedai kuwa mumewe akimrudia wema anaenda kuoga maji ya bahari leo anamsema vz Wema? Nitathibitisha Wema anavuta madawa akihudhuria hiyo fouty yao.
Wema aende kwenye sherehe kwa uhusiano wake na Diamond, kuachana na mtu si kuweka uhasama.Huyo Zari ni mnafki sana. Mara ngapi kamtolea wema maneno ya kashifa? Eti leo hana ugomvi naye. Mara oohh was just an ex kwa Chibu and blah blah. Unafki tu. 40 na iyo Marry me imebuma wanakimbilia kwa Wema
[emoji23] [emoji23]Unaweza kusikia hii habari inaongelewa bungeni maana nchi imejaa vituko hii. We subiri tu. Maana mawaziri wa Magufuli wote akili zao ni sawa na Bongo movie tu
We acha tuu mkuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] umenichekesha mkuu kweli bana ile kichwa haiko xawa,eti wema mibangi!!![emoji12] [emoji12]
[emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yle kukua limwili tu but kichwa kinaupupu!!!!We acha tuu mkuu..
Siliamini amini eti!
Unaeza kuta hapo linachagua Nguo ya kupigilia ili lizamie..
Akili zake hata kisoda hazijai!
Haaa haaa...[emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yle kukua limwili tu but kichwa kinaupupu!!!!
Nimeona my yani yule kumsamehe bure lol,unamkumbuka 20%na lile song lake (bangi nifanyaje vilee[emoji2] [emoji2] [emoji3] )nacheka kma mazurI!! !Haaa haaa...
Umeona Leo shobo za Kisutu
Almanusura aanze tena kuropoka, mpaka maza ake akamstua " Don't talk"
Bangeee mbaya asee..
Una card?Hii bongo movies itakayo tokea siku hiyoo, tutakuja kuiona aseee, i cant wait aseee....[emoji38] [emoji38] [emoji38]
mbona yule naniliu anayekuja juu kwenye media Hamorapa naye naye atahudhuria si familia moja au hapo ndo tutashuhudi movie ya SAW part 7 [emoji15] [emoji15] [emoji15]Acha chuki wewe
wivu utakuua we mwanamke! wimbo upo unasambaa duniani huko wewe unasema umebuma!We umeona mbali asee
Nillan 's 40 + Marry me vimebumaa mbaya..
Wa kuokoa jahazi ni Wema Msokoto manake ndo habaree ya mujini kwa sasa...
ha haaa roho mbaya ya kutabiria watu mabaya tayari kashaalikwa!Hayo ni majibu ya kwenye media kwa ninavowajua hawawezi kumualika hata kwa dawa.
Umelivalia njunga mkuu alie kuambia zari mnafiki ni nani??Siyo kila anayekukosea na ukamsamehe uendelee kuwa naye karibu kwenye maisha yako. Wengine wanakuwa ni kikwazo kwenye mafanikio yako. Wema kama kumsamehe Zari sidhani kama ukaribu naye unatakiwa. Huyu mwanamke ni mnafki sana. Period
Asee...poa poa mkuuwivu utakuua we mwanamke! wimbo upo unasambaa duniani huko wewe unasema umebuma!