Wema, Zari kuonana 'live' kwenye arobaini ya Nillan

Wema, Zari kuonana 'live' kwenye arobaini ya Nillan

wabongo unafik na uchawi na uchanganishi ndo fani zetu,sikushangai.ssa ulitk wagomban mpl lin
[emoji6] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wanafikiii huyooo labor ward ambassador wenu..

kick zimegoma wanataka kusafiria nyota ya wema
nahisi binamu wamekutuma uje kuwatufutia kick.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nyota gani iyo Dada angu
 
Huyu aliedai kuwa mumewe akimrudia wema anaenda kuoga maji ya bahari leo anamsema vz Wema? Nitathibitisha Wema anavuta madawa akihudhuria hiyo fouty yao.
Usipoweka kinyongo na ukiwa wa kufurahia furaha za wenzako utakuwa na maisha mazuri sana hapa duniani.
 
Huyo Zari ni mnafki sana. Mara ngapi kamtolea wema maneno ya kashifa? Eti leo hana ugomvi naye. Mara oohh was just an ex kwa Chibu and blah blah. Unafki tu. 40 na iyo Marry me imebuma wanakimbilia kwa Wema
Wema aende kwenye sherehe kwa uhusiano wake na Diamond, kuachana na mtu si kuweka uhasama.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] umenichekesha mkuu kweli bana ile kichwa haiko xawa,eti wema mibangi!!![emoji12] [emoji12]
We acha tuu mkuu..

Siliamini amini eti!

Unaeza kuta hapo linachagua Nguo ya kupigilia ili lizamie..

Akili zake hata kisoda hazijai!
 
We acha tuu mkuu..

Siliamini amini eti!

Unaeza kuta hapo linachagua Nguo ya kupigilia ili lizamie..

Akili zake hata kisoda hazijai!
[emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yle kukua limwili tu but kichwa kinaupupu!!!!
 
[emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yle kukua limwili tu but kichwa kinaupupu!!!!
Haaa haaa...

Umeona Leo shobo za Kisutu

Almanusura aanze tena kuropoka, mpaka maza ake akamstua " Don't talk"

Bangeee mbaya asee..
 
Haaa haaa...

Umeona Leo shobo za Kisutu

Almanusura aanze tena kuropoka, mpaka maza ake akamstua " Don't talk"

Bangeee mbaya asee..
Nimeona my yani yule kumsamehe bure lol,unamkumbuka 20%na lile song lake (bangi nifanyaje vilee[emoji2] [emoji2] [emoji3] )nacheka kma mazurI!! !
 
We umeona mbali asee

Nillan 's 40 + Marry me vimebumaa mbaya..

Wa kuokoa jahazi ni Wema Msokoto manake ndo habaree ya mujini kwa sasa...
wivu utakuua we mwanamke! wimbo upo unasambaa duniani huko wewe unasema umebuma!
 
Siyo kila anayekukosea na ukamsamehe uendelee kuwa naye karibu kwenye maisha yako. Wengine wanakuwa ni kikwazo kwenye mafanikio yako. Wema kama kumsamehe Zari sidhani kama ukaribu naye unatakiwa. Huyu mwanamke ni mnafki sana. Period
Umelivalia njunga mkuu alie kuambia zari mnafiki ni nani??
 
Eti hatuna kawaida ya kushikiana cm.. halafu nimempa pass word ya instagram anaperuz atakavyo, huyu mama nae anapenda kiki.. anapeuz wakati Tiffah kamashikia hiyo cm?
 
Back
Top Bottom