Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Huko USA gumzo ni kuhusu IQ ya mzee mzima D.J.Trump, Trump juzi alihamisi alifanyiwa interview na jarida la forbes moja ya kitu kilichokua gumzo kwenye iyo interview yake ni kuhusiana IQ yake inasemekana mwaka 2013 trump alisema ana IQ kubwa kuliko Obama na G.W.Bush.
Pia juzi iyo alihamisi alisema ana IQ kubwa kuliko secretary of state - Rex tillerson's na pia ana IQ kuliko mtangazaji mkubwa wa CNN Joh stewart (mara yingi huyu jamaa akuwa taarifa ya habari ya asubuhi huku kwetu inaonyeswa saa 2 au saa 3 CAPITAL TV) Doctor alimfanyia Trump IQ test anaitwa Dr.perry aliulizwa aliki hakujibu trump ana IQ ya ngapi lakini alisema amepata alama ndogo kwenye test kuhusu Emmotional intelligent, cognitive style, vision na organisational capacity.
G washington - IQ 130
Abraham lincoln - IQ 140
John f. Kennedy - IQ 119
Jimmy carter - IQ 153
G.W. Bush - IQ 138
Obama - IQ 130
IQ Trump haijulikani mpaka saivi wengi wanasema wenda ikawa kuanzia 150 kwenda juu
MY NOTE:
Hivi na sisi hatuwezi kuwa na taarifa za IQ za maraisi wetu na viongozi wa juu?