ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
hahahaha mkuu in tl voice,,..na viongozi wetu uku watakikimbia sana..Hiki kipimo cha IQ kikija bongo kitatoa majibu yaajabu amabayo hayajawahi kutokea duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha mkuu in tl voice,,..na viongozi wetu uku watakikimbia sana..Hiki kipimo cha IQ kikija bongo kitatoa majibu yaajabu amabayo hayajawahi kutokea duniani.
huyu atakuwa nayo ndogo ndio maana wamefanya siri. wakimwanika watakuwa wamemvunjia heshima kiongozi mkuu wa nchi.
Tuanzie na IQ yako kwanza maana hilo neno 'wenda" sijajua maana yake!Huko USA gumzo ni kuhusu IQ ya mzee mzima D.J.Trump, Trump juzi alihamisi alifanyiwa interview na jarida la forbes moja ya kitu kilichokua gumzo kwenye iyo interview yake ni kuhusiana IQ yake inasemekana mwaka 2013 trump alisema ana IQ kubwa kuliko Obama na G.W.Bush.
Pia juzi iyo alihamisi alisema ana IQ kubwa kuliko secretary of state - Rex tillerson's na pia ana IQ kuliko mtangazaji mkubwa wa CNN Joh stewart (mara yingi huyu jamaa akuwa taarifa ya habari ya asubuhi huku kwetu inaonyeswa saa 2 au saa 3 CAPITAL TV) Doctor alimfanyia Trump IQ test anaitwa Dr.perry aliulizwa aliki hakujibu trump ana IQ ya ngapi lakini alisema amepata alama ndogo kwenye test kuhusu Emmotional intelligent, cognitive style, vision na organisational capacity.
G washington - IQ 130
Abraham lincoln - IQ 140
John f. Kennedy - IQ 119
Jimmy carter - IQ 153
G.W. Bush - IQ 138
Obama - IQ 130
IQ Trump haijulikani mpaka saivi wengi wanasema wenda ikawa kuanzia 150 kwenda juu
MY NOTE:
Hivi na sisi hatuwezi kuwa na taarifa za IQ za maraisi wetu na viongozi wa juu?
Unautani na yohana mbatizaji???Mnyatuzu Mdosho Iq Yake Iko Kwenye Negatives
Hanaga kitu kwa kuwa yeye ni nani mbele ya wenzakeWabongo wengi IQ double digits
Maraisi ukimtoa nyerere wengine wote single digit
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wabongo wengi IQ double digits
Maraisi ukimtoa nyerere wengine wote single digit
Jinga hilo hata kutamka Tanzania lilishindwa juzi lika make up eti kuna nchi ya africa inaitwa Nambia...najua utadhani alimaaisha namibia hakuna kitu kama unafatilia issue zake ni kwamba alishakwenda bankrupt mara 11,chuo chake cha trump university kilipigwa fine kwa kutoa degree fake,soon very soon Robert Mueller ataangusha bomb kubwa sana kuhusu shady deals za Trump na Oligarchs wa Russia,remember kwenye debate Hillary aliongelea kuhusu jamaa kurelease tax return yake akasema akishinda atatoa?kimya hawezi sababu hata hiyo claim kwamba he is worth 5 billlion dollars ni uongo,that guy is dumb,hana knowledge kichwani ,ni debe tupu kabisa lisilojua dunia inaendaje
Ndiyo maana anakazania sana vita na korea kuuuua soooo la Mueller kwa sababu nuclear war ikianza kutakuwa hakuna ujanja zaidi ya kusupport his orange ass
Mzungu hakosei brPersonally sidhani kama IQ na njia zinazotumika ni kipimo tosha cha kujua uwezo wa mtu.
Wabongo wengi IQ double digits
Maraisi ukimtoa nyerere wengine wote single digit
Yule wa pale posta IQ yake inaweza kufika 1000 na zaidi maana sio wakispot spotHiki kipimo cha IQ kikija bongo kitatoa majibu yaajabu amabayo hayajawahi kutokea duniani.