Tetesi: Wenda ikawa Trump ana IQ kubwa kuliko Obama na G.W.Bush

Tetesi: Wenda ikawa Trump ana IQ kubwa kuliko Obama na G.W.Bush

IQ kama kipimo cha akili ni mazungumzo fulani ya watu fulani wasio na elimu ya mambo ya brain science na clinical psychology.

Stephen Hawkings alisema people who brag about IQ are losers.

Intelligent people ought to have real accomplishment to show for their intelligence, show me a book with bright ideas, policies set, businesses established, legacy etc.
Nakubaliana na bwana Stephen.
 
wabongo bana

unae muita mjinga kachaguliwa na watu wengi kuliko watu wote wa nchi uliyozaliwa ukijumlisha na burundi.....

unayemuita mjinga ana hela nyingi kuliko generation zote za ukoo wenu pamoja na wa mke wako hata muunganishe hela zetu bado hata 10pc ya hela zake hamfikii

unaye muita mjinga ni kiongozi mkubwa kuliko wote duniani

unaye muita mjinga ndio taifa lake limewapa msaada juzi

unayemuita mjinga kamzidi baba yako akili sasa jiulize kama mjinga anaye mzidi baba yako akili baba yako yukoje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] heshima kwako mkuu Root [emoji122]
 
Back
Top Bottom