Tetesi: Wenda ikawa Trump ana IQ kubwa kuliko Obama na G.W.Bush

huyu atakuwa nayo ndogo ndio maana wamefanya siri. wakimwanika watakuwa wamemvunjia heshima kiongozi mkuu wa nchi.

Kwajinsi liberal wanavyopenda kumuacha uchi nadhani ana IQ kubwa ndo maana wameona wakiiweka wazi watizidi kumpaisha, Fake news is every where around trump. Jamaa ukiangalia documentary ya PBS inayoitwa Trump_s_Road_to_the_White_House_(full_film)___FRONTLINE utagundua kuwa jamaa anauwezo mkubwa sana na alijua mapema wapi pakuwashika middle class unlike Hillary and democrat.
 
Tuanzie na IQ yako kwanza maana hilo neno 'wenda" sijajua maana yake!
 
huku kwetu bora isifanyike maana unaweza kukuta kiongozi si single digit tu bali pia tukaja kushauriwa kiumbe apelekwe milembe. .
 
IQ hamna kitu cheki mambo na maamzi ya Jimmy Carter utagundua ni ya hovyo kuliko wenye IQ chini yake kama vile Lincoln na G Washington, JF Kennedy n.k
 
Km wamempima basi kwa hakika kabisa wamekutana na matokeo ambayo hawakuyatarajia. Trump atakuwa na IQ kuliko hao wote uliowataja ndo maana wamefanya siri. Wanaona wakisema hadharani itakuwa aibu kwa wanaomponda!!!
 
IQ kama kipimo cha akili ni mazungumzo fulani ya watu fulani wasio na elimu ya mambo ya brain science na clinical psychology.

Stephen Hawkings alisema people who brag about IQ are losers.

Intelligent people ought to have real accomplishment to show for their intelligence, show me a book with bright ideas, policies set, businesses established, legacy etc.
 
Wabongo wengi IQ double digits

Maraisi ukimtoa nyerere wengine wote single digit
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

wabongo bana

unae muita mjinga kachaguliwa na watu wengi kuliko watu wote wa nchi uliyozaliwa ukijumlisha na burundi.....

unayemuita mjinga ana hela nyingi kuliko generation zote za ukoo wenu pamoja na wa mke wako hata muunganishe hela zetu bado hata 10pc ya hela zake hamfikii

unaye muita mjinga ni kiongozi mkubwa kuliko wote duniani

unaye muita mjinga ndio taifa lake limewapa msaada juzi

unayemuita mjinga kamzidi baba yako akili sasa jiulize kama mjinga anaye mzidi baba yako akili baba yako yukoje
 
Interesting kwa kweli.....wanapimaje IQ na vipimo gani wanatumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…