Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger...,
Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka (kununua wachezaji wengi wenye wage bill kubwa) itakayopelekea Timu kufilisika au kutumia pesa na kununua wachezaji kutokana na Income ya Timu ili kujenga timu kwa muda mrefu..
Sio vema kulinganisha na Manchester United (ambao uwanja wao ni 75,0000 capacity na unajaa kila wiki) au Chelsea na Manchester City; ambao siku wafadhili wao wakiamua kwenda sehemu nyingine au wakiaga dunia na timu itabidi ipige mnada kila mchezaji kama sio kwenda under administration.., wala sio vema kulinganisha na Real Madrid timu ambayo ipo kwenye madeni lakini City Council yao ina-wabail out kila wakati.
Pia tukumbuke kuna team kama Rangers (kwa matumizi mabaya ya pesa kuliko maingizo walijikuta wanashushwa daraja na kuwa under administration) the same applies to Leeds, Portsmouth, n.k.
Kwahio wakuu the way English football inavyokwenda mishahara ya wachezaji haiendani na mapato.., na hili bila kushughulikiwa huenda likawa chanzo cha kuua soka..
Namalizia kwa kuweka Top Ten Paying Clubs in the world (niliyoitoa kwenye tovuti ya BBC)
[h=2]Top 10 clubs paying average wage per player[/h]

- Manchester City (PL) £5.337m
- NY Yankees (MLB) £5.286m
- LA Dodgers (MLB) £5.119m
- Real Madrid (La Liga) £4.993m
- Barcelona (La Liga) £4.901m
- Brooklyn Nets (NBA) £4.485m
- Bayern Munich (Bundesliga) £4.402m
- Manchester United (PL) £4.322m
- Chicago Bulls (NBA) £3.985m
- Chelsea (PL) £3.984m