Wenger's Way is the Right Way.....

Wenger's Way is the Right Way.....

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger...,

Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka (kununua wachezaji wengi wenye wage bill kubwa) itakayopelekea Timu kufilisika au kutumia pesa na kununua wachezaji kutokana na Income ya Timu ili kujenga timu kwa muda mrefu..

Sio vema kulinganisha na Manchester United (ambao uwanja wao ni 75,0000 capacity na unajaa kila wiki) au Chelsea na Manchester City; ambao siku wafadhili wao wakiamua kwenda sehemu nyingine au wakiaga dunia na timu itabidi ipige mnada kila mchezaji kama sio kwenda under administration.., wala sio vema kulinganisha na Real Madrid timu ambayo ipo kwenye madeni lakini City Council yao ina-wabail out kila wakati.

Pia tukumbuke kuna team kama Rangers (kwa matumizi mabaya ya pesa kuliko maingizo walijikuta wanashushwa daraja na kuwa under administration) the same applies to Leeds, Portsmouth, n.k.

Kwahio wakuu the way English football inavyokwenda mishahara ya wachezaji haiendani na mapato.., na hili bila kushughulikiwa huenda likawa chanzo cha kuua soka..

Namalizia kwa kuweka Top Ten Paying Clubs in the world (niliyoitoa kwenye tovuti ya BBC)

[h=2]Top 10 clubs paying average wage per player[/h]
  • Manchester City (PL) £5.337m
  • NY Yankees (MLB) £5.286m
  • LA Dodgers (MLB) £5.119m
  • Real Madrid (La Liga) £4.993m
  • Barcelona (La Liga) £4.901m
  • Brooklyn Nets (NBA) £4.485m
  • Bayern Munich (Bundesliga) £4.402m
  • Manchester United (PL) £4.322m
  • Chicago Bulls (NBA) £3.985m
  • Chelsea (PL) £3.984m
 
Mkuu unapotosha umma:

1. Roman Abromavich si mfadhili wa Chelsea; badala yake ni mmiliki.
Kuna tofauti kati ya mfadhili na mmiliki. Mmiliki hawezi kukubali kupata hasarak wa sababu anamiliki timu ili ipate faida.

2. Kuogopa kupata hasara ni fikra mgando ambazo zimewafanya mshindwe kufanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali.

3. Nikuulize swali moja, si ugomvi tunajenga hoja tu. ni sawa mshambuliaji tegemeo wa timu yako kupata mshahara wa paundi 60,000 kwa wiki na unagemea ubingwa?

4. Anachofanya Wenger na wenzake pale Arsenal Fc ni ubahili na uwoga wa maendeleo..

Ni sawa na mtu anayeogopa kununua gari kwa sababu anaogopa ajali..
Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger...,

Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka (kununua wachezaji wengi wenye wage bill kubwa) itakayopelekea Timu kufilisika au kutumia pesa na kununua wachezaji kutokana na Income ya Timu ili kujenga timu kwa muda mrefu..

Sio vema kulinganisha na Manchester United (ambao uwanja wao ni 75,0000 capacity na unajaa kila wiki) au Chelsea na Manchester City; ambao siku wafadhili wao wakiamua kwenda sehemu nyingine:lying: au wakiaga dunia na timu itabidi ipige mnada kila mchezaji kama sio kwenda under administration.., wala sio vema kulinganisha na Real Madrid timu ambayo ipo kwenye madeni lakini City Council yao ina-wabail out kila wakati.

Pia tukumbuke kuna team kama Rangers (kwa matumizi mabaya ya pesa kuliko maingizo walijikuta wanashushwa daraja na kuwa under administration) the same applies to Leeds, Portsmouth, n.k.

Kwahio wakuu the way English football inavyokwenda mishahara ya wachezaji haiendani na mapato.., na hili bila kushughulikiwa huenda likawa chanzo cha kuua soka..

Namalizia kwa kuweka Top Ten Paying Clubs in the world (niliyoitoa kwenye tovuti ya BBC)

Top 10 clubs paying average wage per player

  • Manchester City (PL) £5.337m
  • NY Yankees (MLB) £5.286m
  • LA Dodgers (MLB) £5.119m
  • Real Madrid (La Liga) £4.993m
  • Barcelona (La Liga) £4.901m
  • Brooklyn Nets (NBA) £4.485m
  • Bayern Munich (Bundesliga) £4.402m
  • Manchester United (PL) £4.322m
  • Chicago Bulls (NBA) £3.985m
  • Chelsea (PL) £3.984m

The largest shareholder on the Arsenal board is American sports tycoon Stan Kroenke, who launched a bid for the club in 2007,[SUP][77][/SUP] and in November 2009 increased his holding to 18,594 shares (29.9%).

Mkuu unapotosha umma:

1. Roman Abromavich si mfadhili wa Chelsea; badala yake ni mmiliki.
Kuna tofauti kati ya mfadhili na mmiliki. Mmiliki hawezi kukubali kupata hasarak wa sababu anamiliki timu ili ipate faida.

Mkuu una ukakika na unachosema ? nini maana ya kufadhili ?, ofcourse Roman alinunua Chelsea ila Chelsea kila mwaka haitengenezi faida ya pesa hata chembe.., kuna wadau kama Glaizers waliyochukua Man United ili wakopee pesa (kwahio walichukua kama asset ili watengeneze pesa na sio kutengeneza pesa kutokana na timu); Hakuna mtu /mmiliki anayechukua pesa na kutengeneza faida (muulize Sir Allan Sugar alisema nini kuhusu Spurs.., ukitaka kupoteza pesa miliki timu.., kwahio kuna faida kama ya brand au kutumia jina kwa promotion na public relations ila Team kama Team mwisho wa mwaka returns ni negative.., ebu niambie mpaka leo Roman ameweka kiasi gani na ametoa kiasi gani...

2. Kuogopa kupata hasara ni fikra mgando ambazo zimewafanya mshindwe kufanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali.
Soma uelewe ninachokisema Wenger's way ya kulipa mishahara na kununua wachezaji kulingana na kipato cha timu na maingizo ya pesa ndio right way.., kwahio ku-break the Bank na kuongeza madeni ndio yanayotokea sasa Europe.., Hivi unajua kabla ya Roman kuja Chelsea ilikuwa kwenye financial mishaps gani hadi ikauzwa.., aliyenunua kwa pound moja Ken Bates 1982 alinunua na madeni ya 1.5m pounds na baada ya hapo kuongezeka lukuki ndio Roman kaamua ni kama kuikopa Chelsea na kuwalipia..., Kutokana na ushindani na mshinikizo wa mashabiki Timu zinanunua kuliko ndio maana nikatoa mifano ya Rangers.., pia kutumia pesa nyingi sio guarantee ya ushindi wowote

3. Nikuulize swali moja, si ugomvi tunajenga hoja tu. ni sawa mshambuliaji tegemeo wa timu yako kupata mshahara wa paundi 60,000 kwa wiki na unagemea ubingwa?
Mshahara anaoliopwa mtu unategemea contract aliyosaini, je alinunuliwa kiasi gani na kina nani wengine wanamtaka ?, ndio maana Sol Campbell Arsenal ilimlipa 100k kwa wiki (ila sababu ni kwamba alitoka Spurs bure); Kumbuka Wenger kitu anachotaka sio kuanza kumlipa mmoja kila anayekuja anataka zaidi, ilitokea kwa Chelsea baada ya kumpa Michael Barrack pesa nyingi contract ya Terry na Lampard zilivyokuja kila mtu alipata zaidi...
4. Anachofanya Wenger na wenzake pale Arsenal Fc ni ubahili na uwoga wa maendeleo..

Ni sawa na mtu anayeogopa kununua gari kwa sababu anaogopa ajali..

Jiulize unataka Arsenal itumie pesa kama timu gani na kwa pesa kutoka wapi Tottenham wamenunua sana Je wamechukua Ubingwa ?, Man City pesa walizotumia ni sawa na ushindi waliopata / watakaopata ?

Timu ni za wapenzi na sababu ya tamaa na kutaka maendeleo ya haraka haraka mwisho wa siku anayepata tabu ni mshabiki aliyepo kule Leeds, Portsmouth and Glasgow..., timu zao (Leeds Portsmouth na Rangers zinapopata matatizo) na sio wale wa kupita..,
 
The largest shareholder on the Arsenal board is American sports tycoon Stan Kroenke, who launched a bid for the club in 2007,[SUP][77][/SUP] and in November 2009 increased his holding to 18,594 shares (29.9%).

What's the point here.. ?; I seem to miss one.
 
chanzo cha matatizo yenu..ukosefu wa makombe..

Matatizo ya nani na makombe gani ?

Naomba unijibu Kabla ya Arsene Wenger Arsenal ilichukua makombe mangapi ?

Na kuanzia hii premier League ianze; hizi ni timu ambazo zimeshachukua Premier league
  • Man United
  • Arsenal
  • Chelsea
  • Man City
  • Blackburn Rovers

katika timu zote hizo ni Arsenal ndio ilichukua premier league (without Breaking the bank) which show (kutumia pesa sio guarantee ya kushinda) ; Pia timu kama Man United inayojaza uwanja kila (iliyokuwa inajaza uwanja) ni ulimbukeni kutaka kushindana nao katika kutumia pesa..., matokeo yake ni kuua timu in the long run.., na last time nimesikia Blackburn ipo kwenye matatizo makubwa sana sijui kama itapona (huge financial problems)

Pia unapoongelea Chairman wa sasa ni kama kusema kwamba zamani Arsenal ilikuwa inatumia sana pesa.., David Dein Alikuwa anatumia kiasi gani
 
Hapo Vipi ?!!!!

Bado tunaamini kwamba kumwaga Pesa willy nilly ndio kufika tunapotaka kufika ?
 
Back
Top Bottom