Mpigamimba
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 198
- 237
Kwanza nifafanue kased life ni ipi.
Kwa kizungu .. inaitwa cursed life.
Ni Hali ya kuwa na bahati mbaya maishani mwako. Wengi hawaijui hii. Nitoe uzoefu kidogo. Kwa wale wagumu kuunganisha dot..
Perspective yangu inakwenda kwenye mahusiano baina ya mwanamke wa mtu na wanae.
Ambapo baadae husababisha watoto kuwa cursed.
Hii hali wakinamama wengi wanasababisha watoto wao kuishi maisha ya hatari.kuwa cursed ni hatari inayosababishwa na wazazi wengi.
Aidha wazazi wanajua au wanarahisisha fedha wanazozipokea kutoka Kwa walio na mahusiano nao baadae husababisha kutia shaka Kwa mwenza bbf wake. Cha ajabu siku za usoni wanawake hawa huweka pembeni nia njema ya aliyewwkeana nae mkataba wa kimahusiano.
mwanamke huyu mwenye familia anayoilisha jasho na anajua kuwa amefanya hivyo hupelekea kuwafanya watoto waishi maisha yenye hatari kubwa.
Ni namna gani watoto ama watu wanaishi maisha yenye laana?
Wanaume wengi wanaishi na kinyomgo na manung'uniko moyoni.
Nimeish na mwanamke ambaye alikuwa anajua kila analofanya. Nimeshangaa Sana anakuja baadae ananipotezea.
Huyu kama aliweza kuniomba niwe karb na watoto wake Kwa ajili ya msaada wa karb nimejikuta nawahurumia watoto