Wengi hawajui maana ya CHATGPT na inavyofanya kazi. Soma hapa

Je kwa nini tutumie CHAGPT na sio google kama kawaida tulivyozoea mkuu ?

Je kwenye CHATGPT kuna faida gani ambazo kwenye Google hakuna mkuu ?
 
asante kwa maana
 
Elimu nzuri sana
 
G
Je kwa nini tutumie CHAGPT na sio google kama kawaida tulivyozoea mkuu ?

Je kwenye CHATGPT kuna faida gani ambazo kwenye Google hakuna mkuu ?
Google inakupa links za query yako ufuatilie mwenyewe. ChatGPT inakujibu kama vile umemuuliza mtu. Ila wameboresha google kwa kuweka AI ambapo pamoja na kukupa links inakupa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…