Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Kuna kaukweli fulan juu ya hili, kitambo nimekuwa nafatlia kuna vtu vinanivuruga boi
 
R.i.p eazy e
 
Tupac inasemecana yupo Cuba, ilitengezwa issues kuwa auwawe, kama unavyo sema afe kabla week ilio pita, fbi ndio walio suka mchezo wa kum disapia, mara ya mwisho alionekwa Cuba wakati America inafungua uhusiano nchi hizo..
 
Ukweli mie hupenda sana mtu atueleze kuhusu masuala ya maendeleo yetu kama nchi na jinsi yanavotuathiri sisi watanzania na kama kuna maeneo ya kujirekebisha tufanyeje. Lkn wkt mwingi nashangaa watu wengine wanaleta mada za wamarekani wavuta bangi waliouana huko na kwa jinsi gani walivuta bangi zao wakapigana risasi na kuuana. Sasa haya mambo ya kishenzi yanatusaidiaje sisi katika maisha yetu huku? Naamini haya ni mambo ya kuiga maana hata mtoa mada katika ukoo wao naamini Tupac hukuwah kumwona na ukwel ni kwamba hakujui na hata ndugu zake hawakuelewi wewe ulieko sijuo wap huko. Na kama ungekujua inakusaidiaje wewe?? Naomba tutumie akili zetu vizuri kwa maendeleo yetu jaman watanzania. Kaa fikiria kabla ya kuandikia
 
Stress. Vumilia tu maana huyu ndio tunae hivo, mpaka 2025, maana 2020 jamaa wanampa, wanampa tena!
 
Stress. Vumilia tu maana huyu ndio tunae hivo, mpaka 2025, maana 2020 jamaa wanampa, wanampa tena!
Hahahahaaaaaaaa et stress
Za mzee wa kaya teh teh teh teh Imooooooooooooooooo...........
 
Hapana snoop na Pac waliroll pamoja miaka ya 90 specifically 94-mid 95.
 
Snoop alivuta na akina camerron Diaz huko akiwa dogo shule. Sio akiwa na PAC atakuwa anaongopa tu
 
Kuna kaukweli fulan juu ya hili, kitambo nimekuwa nafatlia kuna vtu vinanivuruga boi
Yes dre yupo huko na ndio wakampa mafanikoo hayo uyaonayo. Hata huko mbele wanasema Dre is overrated Ana mafanikio ambayo hakutakiwa kuwa nayo. Na sio kwamba watu wanamuonea wivu No!
Ni Mzee wa kurukia treni kwa mbele. Coz hata straight outa campton alikuwa hataki kuhusishwa but alivyoona project inaenda kwa big ndo akarudi na kujifanya nae yumo. But ilikuwa in ice cube idea all the time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…