Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Sasa ulifikaje kujadili hapa ??
 

It's called freedom of expression.
Ndio maana hapa JF kuna topics za humor, politics, leisure, love, education, economic affairs etc
Hivyo unaweza kuchangia kwenye jukwaa of your choice
 
I get around on my block and still balling until the end of time, but it ain't easy for real.

All eyes on me, and really the street fame made me G.

I keep my head up cuz it's always me against the world.

Hey hommies, let's stop tradin war stories no more cuz it gonna erupt teardrops and closed caskets on block. Let's do it for love.

This is strictly to my niggas out there. Life goes on.

-Kaveli-
 
Pia ongezea godfather wake ni mtanzania from Arusha. Geranimmo Pratt alikufa na akazikwa Arusha taarifa zilitangazwa ktk mitandao ya ma blacks mwaka Jana kama sikosei.
Personal bodyguard wake alikuwa anaitwaFRANK WHITE ( don't confuse with bigs the then nick name).
2pac ameshiriki ktk civil right kwa kipindi chake kuraise awareness kwa mablacks.

Mama yake alikuwa ktk list ya wanted in USA gvt.

Aliingia ktk bifu na dre kuhusu nyimbo ya California .
Siku ya kupigwa risasi alivaa cheni ya ajab according to Frank white ilikuwa yenye picha ya black angel of death.
 
Alietoa post sina huakika sana kama anamfahamu Tupac -2pac that much KAMA kashindwa tu kumtambua Kwa jina la LESANE PARISH CROOKS



USHAHID TOSHA


2 pac faked his own Death He knew Everything about his death that Atakufa kwa kupigwa Risasi And he will return - from where!!? wew ulishaga ona mtu anajua Everything how he will end up.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Suge Anatoa prove kabisa kwamba Tupac omar shakur amedanganya kifo chake And there's so many videos showing up Tupac still alive... Ila mm sio Mungu msini judge jaman
 
asante sana bigphil......it has been long tym brother
 
Movie msiitegemee sana, atleast angalia hata documentary yake.. Resurrection
Hii documentary umenikumbusha kitambo.

Wasiowahi kuiangalia, mkipata muda iangalieni.

Hutoweza kujuta
 
Tupac inasemecana yupo Cuba, ilitengezwa issues kuwa auwawe, kama unavyo sema afe kabla week ilio pita, fbi ndio walio suka mchezo wa kum disapia, mara ya mwisho alionekwa Cuba wakati America inafungua uhusiano nchi hizo..
Usipoteze muda wako kuamini uzushi.

Ukweli ni kwamba, Tupac ametutoka, na hayuko nasi tena hapa Duniani
 
Ndio maana kuna majukwaa ya kujadili hayo mambo uliyoyataja.

Hapa, tuko jukwaa husika (sahihi), linalohusiana na tunayoyajadili.

Sasa unataka kila jukwaa tujadili hayo masuala unayoyataka wewe!

Kama unaona haya ni mambo ya kishenzi, basi wewe ungekausha, ukatuachia sisi washenzi tuendelee na mambo yetu ya kishenzi.

Pilipili iko shamba wewe inakuwashia nini?
 
Kwa kweli.
Sema kuna uzushi ulienea ya kuwa PAC, ameacha Mtoto wa Kike alizaa na yule msanii wa zamani wa Kike wa miondoko ya kufokafoka kwa jina msanii mwenyewe wa kuitwa YOYO.

Ila ni uzushi, si kweli.

Tupac hakuacha Mtoto
 
Sema kuna uzushi ulienea ya kuwa PAC, ameacha Mtoto wa Kike alizaa na yule msanii wa zamani Kike wa miondoko ya kufokafoka kwa jina msanii mwenyewe wa kuitwa YOYO.

Ila ni uzushi, si kweli.

Tupac hakuacha Mtoto
AngeachA Mtoto wamarekani walivyo wahuni wangeshampima DNA au hata mwonekano si unaonyesha tuu. Huo ni uongo.
 
AngeachA Mtoto wamarekani walivyo wahuni wangeshampima DNA au hata mwonekano si unaonyesha tuu. Huo ni uongo.
Tena Mtu Maarufu kama yule, ambae anatambulika Ulimwenguni kote, ingeshajulikana.

Ujue kuna baadhi ya Watu wanatafuta kila mbinu kupitia Watu maarufu ili wauze Habari, hata Habari ikiwa ya uzushi Mtu yuko tayari kuirusha.

Hebu tupate ushahidi kamili kutoka kwa Tupac mwenyewe, kwa maneno yake mwenyewe, kuonesha kuwa hakuwa tayari kuacha kiumbe (Mtoto) hapa Ulimwenguni, mpaka siku anaiga Dunia/anauacha huu Ulimwengu kutoka kwenye Kibao chake cha kuitwa Hell for a Hustla.

Kibao nakidondoshea hapo chini:-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…