Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

huyu hakuacha mtoto kweli.
Kuna mtu kama cristiano ronaldo hadi leo mama wa mtoto wake hajulikani na ni toka 2010 huyo mtoto amezaliwa, watu wanasema alimpa pesa huyo mwanamke aliezaa nae wakakubaliana mahakamani asije kutoa siri.
 
Mkuu huyo godfather wake alipata uraia wa tanzania. yeye ni mzaliwa wa huko louissana marekani.
 
huyu hakuacha mtoto kweli.
Kuna mtu kama cristiano ronaldo hadi leo mama wa mtoto wake hajulikani na ni toka 2010 huyo mtoto amezaliwa, watu wanasema alimpa pesa huyo mwanamke aliezaa nae wakakubaliana mahakamani asije kutoa siri.
Huo ndio ukweli, Tupac hakuacha Mtoto.

Na sababu za undani anazijua yeye mwenyewe Marehemu PAC.

Na hata kwenye Kibao chake cha kuitwa SMILE ambacho ameshirikiana/alishirikiana na Scarface, Tupac ameonesha kuwa hakuwa tayari kuwa na Mtoto, Hofu yake ni ushahidi tosha.

Hebu ngoja nikidondoshee Kibao chenyewe hapo chini:-
 
Ila kuna baadhi ya nyimbo yuko na watoto wadogo inaonekana alikua anawapenda ila alikua hataki kuacha uzao, cheki nyimbo kama brenda got a baby
 
Ila kuna baadhi ya nyimbo yuko na watoto wadogo inaonekana alikua anawapenda ila alikua hataki kuacha uzao, cheki nyimbo kama brenda got a baby
Mkasa wa BRENDA ni mzito sana.

Hiki Kibao nakikubali sana.

Umenifanya nikikumbuke
 
Hivi huyu jamaa kabla hajafa alikua na mke?, alikua na watoto wangapi? na wapo hai? Je? wanajishughulisha na music?, shughuli gani tofauti?
 
nachojua mimi ni kuwa member wa kundi lake "outlawz" walichanganya majivu yake na bangi alafu wakapiga puff zakutosha!
 
Tupac hajafa nikama daudi balali au ben saa nane wako somewhere wanakula bata
 
Hivi huyu jamaa kabla hajafa alikua na mke?, alikua na watoto wangapi? na wapo hai? Je? wanajishughulisha na music?, shughuli gani tofauti?

Unataka tukasome tuje tukuhadithie??..acha uvivu dogo..yaani hata story ya maisha yake unataka uhadithiwe??..wewe Google unaitumia kwenye nini hasa. Acha uzembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…