Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Tupac ni nabii wa hip hop aliye yatoa maisha yake kwa ajiri ya black american uhususan thugs

Ukiona 50 cent, lil wyne, na wengineo wengi wako juu ni matunda ya huyu jamaa
 
Suge Knight kasema majuzi aliyemuua 2PAC alikusudia kumuua yeye Suge, alikuwa ametumwa na ex wife wa Suge.
 
na pia umesahau watu hawajui tupac na mimi ni ndugu upande wa baba yakee hawalijui hilooooo
 
2pac na bob marley walikuwa ni manabii ktk tasnia ya muziki,,
 
Jada pinket mke wa wil smith au??
Ndio Kiongozi.

Ndio huyo huyo JADA unaemfahamu wewe na wala si mwingine.

TUPAC alianza nae kitambo kabla hata ya WILL kumfahamu JADA
 
mm ni shabiki wa tupac, ila nikisikiliza mashairi yake najiuliza how a young boy died at 25 could write such lyrics. he was genius
he was a prophet,,mashairi ya 2pac sio ya kawaida kbs na yataishi milele bila kuchuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…