Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Muigizaji mzuri kabisa moja ya kazi zake

1.Juice
2.Poetic justice
3.Above the rim
4.Gridlock'd
5.Gang related

Kwenye juıce ndo kuna jamaa anaıtwa 'quıncy' au nachanganya madesa
 
Asante mdau but hata hilo sio jina lake halisi.. jina lake la kuzaliwa ni Lesane Parish Crooks

hata kama si lake halisi lakini kila mtu anajua ni Amaru na si Omari. Mama yake anajua Amaru na si Omari
 
2pac amekufa kiukweli na suge hausiki kabisa na kifo chake.....suge alikua bosi wa 2pac,rafiki yake na pia mwajiri wake 2pac alimpenda suge,alifanya nae kazi lakini 2pac hakuwahi kumwamini suge maana anamjua vema

Unasema suge hahusiki na kifo cha tupac then unasema tupac alimpenda sana suge halafu unamalizia kwa kusema tupac hakumuamini suge! ..sasa ndio umeandika nini au umeamua tu kuweka kila kila kilichokujia kwenye ubongo wako?
 
Unaweza kumpenda sana mtu lakini usimwamini kutokana na udhaifu wake.
 
Back
Top Bottom