Tour De France
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 345
- 335
Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge
Kama una swali niulize
Muigizaji mzuri kabisa moja ya kazi zake
1.Juice
2.Poetic justice
3.Above the rim
4.Gridlock'd
5.Gang related
Au ulitaka maanisha Dj Q(Omar epps)?Kwenye juıce ndo kuna jamaa anaıtwa 'quıncy' au nachanganya madesa
Asante mdau but hata hilo sio jina lake halisi.. jina lake la kuzaliwa ni Lesane Parish Crooks
Au ulitaka maanisha Dj Q(Omar epps)?
AnytimeYah Dj Q thanks,haha nilihisi sijaiona kumbe nimeichek thanks mkuu
2pac amekufa kiukweli na suge hausiki kabisa na kifo chake.....suge alikua bosi wa 2pac,rafiki yake na pia mwajiri wake 2pac alimpenda suge,alifanya nae kazi lakini 2pac hakuwahi kumwamini suge maana anamjua vema
Unasema suge hahusiki na kifo cha tupac then unasema tupac alimpenda sana suge halafu unamalizia kwa kusema tupac hakumuamini suge! ..sasa ndio umeandika nini au umeamua tu kuweka kila kila kilichokujia kwenye ubongo wako?
Acha siasa za bunge la jamuhuri la katiba la tz
Nani alimuua?Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge
Kama una swali niulize
Unaweza kumpenda sana mtu lakini usimwamini kutokana na udhaifu wake.Unasema suge hahusiki na kifo cha tupac then unasema tupac alimpenda sana suge halafu unamalizia kwa kusema tupac hakumuamini suge! ..sasa ndio umeandika nini au umeamua tu kuweka kila kila kilichokujia kwenye ubongo wako?
Acha uongo weweAsante mdau but hata hilo sio jina lake halisi.. jina lake la kuzaliwa ni Lesane Parish Crooks
Duh umemuonyesha kwamba still ww uko deep!Asante mdau but hata hilo sio jina lake halisi.. jina lake la kuzaliwa ni Lesane Parish Crooks
Hapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiajeOngezea JADA alikuwa kipenzi chake sana na walisoma shule moja
will smith alifanya makosa gani mkuu?Hapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiaje
Source you tube umetishatupac is alive and is in cuba,
source mimi mwenyewe:cool2: