Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Habari zinasema kuwa ni washkaji wa BIG ndio waliomuua Tupac.

Ila mpaka leo hii Watu weusi na watafiti wengi wanasema waliomuua ni wazungu ambao hawakufurahishwa na lifestyle ya Tupac.
Kifo cha Tupac kimekuwa na utata na kimeleta gumzo kubwa.

Kuna baadhi ya Watu wanasema, marehemu KADAFI alikuwa akiwafahamu wauaji wa Tupac, sababu yeye KADAFI alikuwa na Tupac, pamoja na Suge Knight mpaka dakika ya mwisho, alishuhudia lilipotokea tukio la kumwagiwa Risasi Marehemu Tupac.

Na marehemu KADAFI aliahidi kuwataja wauaji wa Tupac atakapoenda kwenye mahojiano na wanaUsalama, kitu ambacho baada ya kusikika KADAFI kuwa atawataja wauaji wa marehemu Tupac, ili kupoteza ushahidi ikabidi KADAFI nae auliwe.

Na cha ajabu zaidi KADAFI aliuawa kwa Risasi, miezi miwili tu baada ya kifo cha Tupac
 
Kosa kubwa alilofanya kugonga dem wa mshkaji kisha kuimba na kujisifu katika wimbo wake wa Hit em all, naamini kabisa ndio ilisababisha kifo chake, na kama ni kweli (kwa mujibu wa mawazo yangu) basi alistahili kile kifo
Hit 'em up.


 
Mkuu upo sahihi ila naomba nkurekebishe kidogo.
Tupac kipindi anapigwa risasi mara ya kwanza ile 1994 alikwenda studio kwa biggie na p didy kuwasalimia na pia alikua na mpango wa kufanya collaboration album na biggie, ndo naskia mtu alitokea huko akiwa na risasi akitaka kuwa shot sasa pac akamfata ili kumzuia ndo naskia alimmimina hizo shaba na akina biggie na diddy walienda kujicha.
Baada ya pac kumiminwa akawa anajiegemeza kuwafata akina biggi na didy ndo pac akasema aliwakuta wakiwa na hasira na yeye ndio akajua kabisa hawa walikua wamepanga kumuua na hapo ndio chuki ilikua kwa asilimia 100%
Baada ya hili/hilo tukio Biggie akaja kihivi:-

 
Wamemuua pia mama yake kwa kusingziia overdose ya madawa coz mama yake kuna vitu alikataa kwenye movie yake inayokuja ya ALL EYES ON ME
Afeni Shakur (R.I.P).

Mama alikuwa Mwanaharakati mkubwa sana huyu.

afeni-shakur-camera.jpg


Tupac-mom.png


tupac-and-afeni-shakur.jpg


afeni%2Bshakur.png
 
Mkuu Tupac ana Baba wawili,na Baba wa ukweli yupo jela hadi leo baba mlezi na wa ukweli wote ni weusi hakuna mtu mweusi wa marekani ambae hakutoka africa ukiwa na hela unatrace ancestors wako wote unawapat
Baba yake halisi Tupac hakuwa na asili ya Mexico ? Ukimwangalia vizuri Tupac ana umexico fulani hivi
 
Hapo kwenye dear mama umedanganya... Album ya me against the world ilitoka pac akiwa anaenda kutumikia kifungo... Na dear mama ipo kwenye hiyo album.
 
Pia huyo mtu aliepigwa na tupac alikua na connection na p diddy so hii inaonyesha ni mchezo kabisa ulipangwa. Ila mimi ndoto zangu nisikie diddy nae wamempiga shaba maana jamaa namchukia sana nahisi ata utajiiri wake ni wasadaka za binadamu wenzie.


huyu K siku akijichanganya aje Africa tu tunamla kisamvu
 
* "Baadhi" ya majivu, inavyosemekana. Sehemu ya majivu mengine yalisambazwa sehemu kadhaa. Aliwahi kuimba, "bury me in pieces coz they fear reincarnation". And indeed he was buried in pieces.


* Pac aliitaja Hennessey zaidi ya kinywaji chochote katika maisha yake ya umaarufu. Nilidhani hiki ndio kingekuwa kinywaji chake.

* Kuzaliwa NYC, na kuwakilisha WC sio kitu cha ajabu wala hakuwa wa kwanza au wa pekee. The DOC hakutokea WC, Xzibit hakutokea WC. Biggie Smallz aliwakilisha Bedstuy, na hakutokea huko. T.I. anawakilisha both ATL na WC. According to himself, alijifunza maisha na game walivyohamia WC. Na aliamua kuwakilisha zaidi WC, coz NYC "walimgeuka".

* Dear mama ilitoka Tupac akiwa jela kwa kosa la kumdhalilisha mwanamke, which was quite ironic. Haikuandikwa akiwa jela.

* Mama ake alikuwa akishikiliwa gerezani akiwa na mimba ya Tupac. Hakuwa amehukumiwa. Alishinda tuhuma dhidi yake, kabla Tupac hajazaliwa.

AMBAYO WENGI HAWAJUI KUHUSU TUPAC.

1. Tupac na Suge walishawahi kufanya kazi hata kabla Tupac hajajiunga Death Row.

2. Tupac na Suge walikuwa na same "Boss" (Interscope) kabla Tupac hajasign Death Row. Kuna theory kuwa Jimmy Iovine alimkabidhi Tupac kwa Suge kiaina, kujitenga na controversies, ila kimsingi bado alikuwa chini yao.

3. Tupac ndio alipangwa kucheza role aliyocheza Tyrese kwenye Baby Boy movie. John alikuwa na upendo wa pekee kwa Tupac. Uki-calculate hii mambo, unakuja kuona kuna nafasi kubwa sana Tupac ndio angekuja kuwa Roman kwenye Fast & Furious franchise, kama angebaki hai.

4. Tupac biopic movie inayoachiwa soon, itakuwa ni moja kati ya movies mbovu kabisa kufanyika kwenye game. I'd love to swallow my words.

5. Is Tupac alive?? "Still I ride, I'm never worried/
Mr Machiavelli told me to ride, and I'ma ride/
...it's not the way I wanna live, my n!gga it's how it is/". Machiavelli preached ....? Go figure.
Kwenye ubovu wa hiyo movie nakuunga mkono,nina wasiwasi ntakua disappointed.
 
huyu K siku akijichanganya aje Africa tu tunamla kisamvu
Ningelikua na kaa huko majuu ningefanya njama walau na yeye ni mfanye marehemu.
Huyu mbuzi sijui anajiskiaje yani pia nina wasiwasi na CIA maana wamarekani nina hakika walikua hawafurahishwi na kitendo cha tupac kuwa maarufu. Na kwa kutumia media zao naona walichangia kukuza huu mzozo.
Ila afterall black wana run the world watake wasitake mwafrika yuko juu. Athletes, Waigizaji, wanasiasa, na wanamuziki kibao iwe rnb, hp hop, rock n.k
 
Mkuu Tupac ana Baba wawili,na Baba wa ukweli yupo jela hadi leo baba mlezi na wa ukweli wote ni weusi hakuna mtu mweusi wa marekani ambae hakutoka africa ukiwa na hela unatrace ancestors wako wote unawapat
Wrong baba aliopo jela ni Muturu Shakur baba yake wa kambo ambaye ni baba wa mopreme. mshua wa pac yupo anaitwa Bill Garland ana miaka 61 na watoto Sita.
 
Back
Top Bottom