We waitwa DullyJr, mtu akikuita ZallyJr lazima nitakeleka.atakuwa anamuongelea mtu mwingineWe vp mbona kama umekeleka sana dah
Kifo cha Tupac kimekuwa na utata na kimeleta gumzo kubwa.Habari zinasema kuwa ni washkaji wa BIG ndio waliomuua Tupac.
Ila mpaka leo hii Watu weusi na watafiti wengi wanasema waliomuua ni wazungu ambao hawakufurahishwa na lifestyle ya Tupac.
Pure talentmm ni shabiki wa tupac, ila nikisikiliza mashairi yake najiuliza how a young boy died at 25 could write such lyrics. he was genius
Hit 'em up.Kosa kubwa alilofanya kugonga dem wa mshkaji kisha kuimba na kujisifu katika wimbo wake wa Hit em all, naamini kabisa ndio ilisababisha kifo chake, na kama ni kweli (kwa mujibu wa mawazo yangu) basi alistahili kile kifo
Baada ya hili/hilo tukio Biggie akaja kihivi:-Mkuu upo sahihi ila naomba nkurekebishe kidogo.
Tupac kipindi anapigwa risasi mara ya kwanza ile 1994 alikwenda studio kwa biggie na p didy kuwasalimia na pia alikua na mpango wa kufanya collaboration album na biggie, ndo naskia mtu alitokea huko akiwa na risasi akitaka kuwa shot sasa pac akamfata ili kumzuia ndo naskia alimmimina hizo shaba na akina biggie na diddy walienda kujicha.
Baada ya pac kumiminwa akawa anajiegemeza kuwafata akina biggi na didy ndo pac akasema aliwakuta wakiwa na hasira na yeye ndio akajua kabisa hawa walikua wamepanga kumuua na hapo ndio chuki ilikua kwa asilimia 100%
Afeni Shakur (R.I.P).Wamemuua pia mama yake kwa kusingziia overdose ya madawa coz mama yake kuna vitu alikataa kwenye movie yake inayokuja ya ALL EYES ON ME
Ulimwengu wa Mapenzi ni kitu kingine.Hapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiaje
Maisha yanaendelea.Hapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiaje
Ndio mkuuBaada ya hili/hilo tukio Biggie akaja kihivi:-
Baba yake halisi Tupac hakuwa na asili ya Mexico ? Ukimwangalia vizuri Tupac ana umexico fulani hiviMkuu Tupac ana Baba wawili,na Baba wa ukweli yupo jela hadi leo baba mlezi na wa ukweli wote ni weusi hakuna mtu mweusi wa marekani ambae hakutoka africa ukiwa na hela unatrace ancestors wako wote unawapat
Kila nikimkumbuka huyu mwamba nakumbuka hii nyimbo.
Jay Z alikua kwenye kundi la Biggie liitwalo "the commission" akitumia alias Iceberg slim na biggie akijiita black Frank white.Sidhani ila alikua anawakilisha east coast. kwenye member wa bad boy sijamwona jay z hata akuhusishwa kwa karibu.
GovernmentNani alimuua?
Pia huyo mtu aliepigwa na tupac alikua na connection na p diddy so hii inaonyesha ni mchezo kabisa ulipangwa. Ila mimi ndoto zangu nisikie diddy nae wamempiga shaba maana jamaa namchukia sana nahisi ata utajiiri wake ni wasadaka za binadamu wenzie.
Kwenye ubovu wa hiyo movie nakuunga mkono,nina wasiwasi ntakua disappointed.* "Baadhi" ya majivu, inavyosemekana. Sehemu ya majivu mengine yalisambazwa sehemu kadhaa. Aliwahi kuimba, "bury me in pieces coz they fear reincarnation". And indeed he was buried in pieces.
* Pac aliitaja Hennessey zaidi ya kinywaji chochote katika maisha yake ya umaarufu. Nilidhani hiki ndio kingekuwa kinywaji chake.
* Kuzaliwa NYC, na kuwakilisha WC sio kitu cha ajabu wala hakuwa wa kwanza au wa pekee. The DOC hakutokea WC, Xzibit hakutokea WC. Biggie Smallz aliwakilisha Bedstuy, na hakutokea huko. T.I. anawakilisha both ATL na WC. According to himself, alijifunza maisha na game walivyohamia WC. Na aliamua kuwakilisha zaidi WC, coz NYC "walimgeuka".
* Dear mama ilitoka Tupac akiwa jela kwa kosa la kumdhalilisha mwanamke, which was quite ironic. Haikuandikwa akiwa jela.
* Mama ake alikuwa akishikiliwa gerezani akiwa na mimba ya Tupac. Hakuwa amehukumiwa. Alishinda tuhuma dhidi yake, kabla Tupac hajazaliwa.
AMBAYO WENGI HAWAJUI KUHUSU TUPAC.
1. Tupac na Suge walishawahi kufanya kazi hata kabla Tupac hajajiunga Death Row.
2. Tupac na Suge walikuwa na same "Boss" (Interscope) kabla Tupac hajasign Death Row. Kuna theory kuwa Jimmy Iovine alimkabidhi Tupac kwa Suge kiaina, kujitenga na controversies, ila kimsingi bado alikuwa chini yao.
3. Tupac ndio alipangwa kucheza role aliyocheza Tyrese kwenye Baby Boy movie. John alikuwa na upendo wa pekee kwa Tupac. Uki-calculate hii mambo, unakuja kuona kuna nafasi kubwa sana Tupac ndio angekuja kuwa Roman kwenye Fast & Furious franchise, kama angebaki hai.
4. Tupac biopic movie inayoachiwa soon, itakuwa ni moja kati ya movies mbovu kabisa kufanyika kwenye game. I'd love to swallow my words.
5. Is Tupac alive?? "Still I ride, I'm never worried/
Mr Machiavelli told me to ride, and I'ma ride/
...it's not the way I wanna live, my n!gga it's how it is/". Machiavelli preached ....? Go figure.
Pac alikosea tuu kuzaa mtoto. Hilo tuu ndio kosa.Ulimwengu wa Mapenzi ni kitu kingine.
Hebu ngoja nikutupie na Picha, awali sikukutupia picha.
Ningelikua na kaa huko majuu ningefanya njama walau na yeye ni mfanye marehemu.huyu K siku akijichanganya aje Africa tu tunamla kisamvu
Wakiwa underground sio?Jay Z alikua kwenye kundi la Biggie liitwalo "the commission" akitumia alias Iceberg slim na biggie akijiita black Frank white.
Wrong baba aliopo jela ni Muturu Shakur baba yake wa kambo ambaye ni baba wa mopreme. mshua wa pac yupo anaitwa Bill Garland ana miaka 61 na watoto Sita.Mkuu Tupac ana Baba wawili,na Baba wa ukweli yupo jela hadi leo baba mlezi na wa ukweli wote ni weusi hakuna mtu mweusi wa marekani ambae hakutoka africa ukiwa na hela unatrace ancestors wako wote unawapat