Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila haya sio matunda
Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
Kweli kabisaupareni wanayaita makilaume wanatumia kama nyanya
Labda wa.....e wa Dar...[emoji12]
Hahahhahahha
Nyanya mti hizo!! Msele na bada [emoji39] [emoji12] Yetooni namnani aho...Haya vuga kule tunayaita maklaume.. au maghogwe..
Haya unayapikia ule mlenda wa unga 'msele' halafu ukalia 'bada'..
mate yashanijaa apa
Ipere thi kindu..kindu ni mshombe.....dah umenkumbusha mbali kijijini bada na msele,samaki au na maziwa mgando machachuu... Maisha yalikuwa murua kwa kweliHaya kwa bibi kule yanaitwa makilaume ,,,,,,,,unalichoma then unatoa ganda unaunga kitu thamaki(mapere) au yaungwe kwenye mlenda kwa bibi tunaita mthele "" na ibada
Yeah ni tunda lakin sehem nyingne linatumika kama m'badala wa nyanya...na huwa linaota kwenye miti midogo isiyo mirefu....Haya matunda ni mengi sana huko maeneo ya uwemba njombe na hua tunaita matunda damu.
Ina maana haya matunda kuna sehem wanayaweka kwenye mboga?au kuyachoma na kuyatumia kama mboga?nilikua sijui kabisa.
Kama tumekaa sehemu moja mkuuIpere thi kindu..kindu ni mshombe.....dah umenkumbusha mbali kijijini bada na msele,samaki au na maziwa mgando machachuu... Maisha yalikuwa murua kwa kweli