platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Hahahagheto huwa napikaga ugali wa NGOGWE sababu ya ugumu wa maisha lakini nasikia inapunguza hasira sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahagheto huwa napikaga ugali wa NGOGWE sababu ya ugumu wa maisha lakini nasikia inapunguza hasira sana!
Yap matunda damu............Na passion eti tunayaita matunda jiwe hahahaahhayo ufipani tunayaita matunda damu sababu ndani ni mekundu kama damu
Mkuu kumbe umeishi Tengeru
Hahahaah chikanda sio msimu huu. Nyanya mpoli zipo.lini unakuja Dar uniletee nyanya mpoli na chikanda...
Hii ndio mnaiita balanced diet??
Hivi haya yapo kwa wingi? Sio kuwa yanatoweka??Matunda damu a.k.a abhapana! by Mby rungwe
Long time no see you farkhina hayo si nyanya chungy
Makweme.