Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,733
ngoime.Mmhna haya je?![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoime.Mmhna haya je?![]()
Hahahaah chikanda sio msimu huu. Nyanya mpoli zipo.
Teh teeeh teeeeeeeUtasikia Hayo Pia Hawayajui Wanaume Wa Daslamu..!
Kweli jamaa yangu nimewaza sana nilikuwa nimesahau jina lake..Hahahhahahha
Nayajuaaa sana ila kitambo sijala haya sisi twayaita mathomas
Yanaongeza nguvu za kiume kwa kasi ya hajabu.
Dar ishaanza kukuharib hapo ungeletewa recipe za urojo ungetambua fastKweli jamaa yangu nimewaza sana nilikuwa nimesahau jina lake..
Mmh! Najua vitu vingi kuna kitu kinaitwa ntuntunwa, manyambitwa, mazilozilo, manazi na entabataba, achilia mbali amasasa we acha kabisa niko nondo vibaya sana.Dar ishaanza kukuharib hapo ungeletewa recipe za urojo ungetambua fast
Asante google ...Mmh! Najua vitu vingi kuna kitu kinaitwa ntuntunwa, manyambitwa, mazilozilo, manazi na entabataba, achilia mbali amasasa we acha kabisa niko nondo vibaya sana.
Ngoja nitafute picha km nitapata nitatupia uthibitishe ubabe wangu wa kibantu..! Mimi dume la kibantu bwana.Asante google ...
dah kweli jamaa.Niliyala nikiwa scauti kwenye pori la TENGERU
Bado asante google ...ubabe wa bando na kusearchNgoja nitafute picha km nitapata nitatupia uthibitishe ubabe wangu wa kibantu..! Mimi dume la kibantu bwana.
mi ni mwanamke wa dar siyajui,jaman hivi wanaume wa dar wana nini mume wangu yupo hapa dar unantisha mkuu.Utasikia Hayo Pia Hawayajui Wanaume Wa Daslamu..!
Inaweza kuwa fursa kwa Wajasiliamali.Utasababisha dhahama ndg yangu!!
Hii ni fursa kwa Wajasiliamali.Utasababisha dhahama ndg yangu!!
Mkuu Usisikitike sana Jitahidi ufuatilie nyendo za mumeo tu..!mi ni mwanamke wa dar siyajui,jaman hivi wanaume wa dar wana nini mume wangu yupo hapa dar unantisha mkuu.