Wengi hawayajui haya

Wengi hawayajui haya

Matole, usukumani kwetu. Hapo yakiungwa yenyewe au yakiungwa na dagaa au samaki au maharage. Yanaongeza ute kwenye via vya uzazi
 
Kwetu kishumundu tunayaita matumante... Matumizi yake km nyanya but siyapendi yana acid sana hivyo kiungulia lazima
 
8ae87a7cd3d5bc282fc764af5f85a899.jpg
Sie wasambaa tunayaita magoghwe
 
Looks like nyanya chungu. Honestly hii kwetu hamna...never seen. Hence hatuna hata msamiati wake.
 
Back
Top Bottom