HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Unaonaje na wewe ukilinda maslahi yako kwa watoto wako ili waje wakupigie kampeni?Samia alinde maslahi kwako anakujua lakini?wewe umewahi kulinda maslahi ya familia ya jirani yako bila kuwa na faida nayo?acha ujinga kuwa na akili siku mojamojaSamia analinda maslahi yake Kwa diamond aje ampigie kampeni
Wewe ni mama levo?Unaonaje na wewe ukilinda maslahi yako kwa watoto wako ili waje wakupigie kampeni?Samia alinde maslahi kwako anakujua lakini?wewe umewahi kulinda maslahi ya familia ya jirani yako bila kuwa na faida nayo?acha ujinga kuwa na akili siku mojamoja
Huelewi kitu wewe. Kinachoangaliwa sasahivi ni trending basi, kosa unalofanya ni kumdharau msomi na elimu yake au umesahau kuwa wasomi ni watumwa wa wanasiasa na hiyo imetengenezwa na SIASA. Yaani leo hii Kabudi anaenda kuchangia hoja na Babalevo! SMHWaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa.
Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote waliomtangulia hapo Kigoma huu ni wakati wa kuwekeza kwa wasiosoma kwani WASOMI wa Tanzania ni mabumunda vichwani.
Sasa waTanzania mnaakili gani duniani?ebu nitakie wabunge wako wenye hadhi na walichofanya hapa Tz,haya sasa mpitishe huyo wako mwenye hadhi sasa,tatizo mnakaririr wasomi na matajiri ndiyo wamebarikiwa kuongoza na ndiyo wanahadhi ya kuwa wabunge hamjui elimu nal utajiri vinakutwa duniani ila UONGOZI mtu anazaliwa nao,hao woooote walioachwa huki kwingine na elimu zao huwaoni ila Babalevo tu,shit hole!!Mimi sio.mwanasiasa ila babaleve Hana hadhinya kuwa mbunge katika taifa la watu wenye akili kubali kataa
Vyovyote nad popote inatakiwa mbunge aombe mahitaji ya jimbo lake siyo kupangiwa,wewe ni jinga kwani ujumbe unakuwa umefika au haujafika?Huelewi kitu wewe. Kinachoangaliwa sasahivi ni trending basi, kosa unalofanya ni kumdharau msomi na elimu yake au umesahau kuwa wasomi ni watumwa wa wanasiasa na hiyo imetengenezwa na SIASA. Yaani leo hii Kabudi anaenda kuchangia hoja na Babalevo! SMH
Ndio yaleyale mtu anakuja kuomba barabara kwenye bunge la bajeti. Kwenye vikao vingine huko nyuma alikua kimya anapiga tu meza.
Mbunge sio kuomba mahitaji fulani kwenye jimbo lake. Mbunge anahusika kufanya ukaguzi mbalimbali kupitia kamati zitakazoundwa, mbunge anahusika kwenye kutoa maoni na hoja juu ya muswada fulani kuelekea kupitishwa kuwa sheria. Kama kitabu hamna hayo yote kuyatekeleza kiufasaha hutaweza.Vyovyote nad popote inatakiwa mbunge aombe mahitaji ya jimbo lake siyo kupangiwa,wewe ni jinga kwani ujumbe unakuwa umefika au haujafika?
Kama msukuma na Babu Tale ni wabunge,why not Baba Levo?Mimi sio.mwanasiasa ila babaleve Hana hadhinya kuwa mbunge katika taifa la watu wenye akili kubali kataa
WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa.
Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote waliomtangulia hapo Kigoma huu ni wakati wa kuwekeza kwa wasiosoma kwani WASOMI wa Tanzania ni mabumunda vichwani.
Hao wasomi wamefanya nini cha maana mbona mnawalalamikia watoke madarakani na kuwabadirisha kila kukicha na hatuoni tija?Kudharau wasomi kwa siasa zetu ni sawa na kumwaminia mgambo kwenye vita iliyomshinsa mjeda.