Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi.
--
“Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa pesa watu wamepigwa,wamefanywa chochote.Lakini leo watu wana uhuru,utaacha kusema anaupiga mwingi?" Mhe. Msukuma