Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Sawa tunakupa kazi wewe mkamate umrudishe huko kwao Rwanda!Huyu Bashiru ni wa kurudishwa kwao Rwanda mara moja.
Magufuli alitaka kuwaingiza bahima wenzake kwenye system kama walivyoingia kina Kagame kwenye system ya Uganda na General Kaberebe kwenye system ya Congo ili waje kuitawala Tanzania na kusumbua kama wanavyosumbua East Congo.
Huyu ni kuchukua tu uraia wake na kumrudisha kwao Rwanda wana roho mbaya na uchu sana wa madaraka hawa
Kawagusa kwenye nyeti sasa kurukaruka ni endelevu.Huyu Bashiru ni wa kurudishwa kwao Rwanda mara moja.
Magufuli alitaka kuwaingiza bahima wenzake kwenye system kama walivyoingia kina Kagame kwenye system ya Uganda na General Kaberebe kwenye system ya Congo ili waje kuitawala Tanzania na kusumbua kama wanavyosumbua East Congo.
Huyu ni kuchukua tu uraia wake na kumrudisha kwao Rwanda wana roho mbaya na uchu sana wa madaraka hawa
labda ataongoza familia yake mpaka huo mwaka.Rais Samia Mpaka 2030
CCM Chama cha Mapimbi.Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi.
--
“Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa pesa watu wamepigwa,wamefanywa chochote.Lakini leo watu wana uhuru,utaacha kusema anaupiga mwingi?" Mhe. Msukuma
View attachment 2422837