Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beef, cow, kitimoto, pork ...
Aisee nimetoka kapa.Huu wimbo ulikuwa una vibe kali sana enzi hizo lakini tuliishia kupenda tu namna wanavyo flow, mashairi yalitupa mtihani kuyaelewa.
Verse 1:
(Luteni Karama)
Hili daruga
Kichugachuga
Ung'eng'e zali,
Mazabe, take care
Machizi wanatambaa na boda
Masela, masimela, wajelajela
Bongo wanahisi wapo akhera
Viepe dume mi-cassava ma-water
Kamili kimentali, Gado Ki-embassador
Kuna nyolo kwa chabo
Kisabosa
Mwangaluka ngosha,
Mulimhola, Mwadela
Ngoma inayeya
Mbona bye yekete
Mambo visadoli
Makonkodi kinyolodi
Kwa lodi makatalogi
Kocho ukiitia displini
Utazimia na roho yako
Watu tukiikamatia mitandao
Wiz kata shingo
Wachizi wetu
Waruke na mandingo
Depo moko mtu mmoko
Dili zote magendo
Ukizubaa kitendo
Kwa taarifa yako
Kitu kibolibo mnala
Watu tupo majalala
Mkangafu ngalangala
Mavumba kujifukizia
Manuva kuparata
Mesheni za kutempa
Za kuchumpa za kupalama
Nanga inapaa
Hiki sasa kiama dunia
Nyanga, ekamtoo, stemkoo
Dusko dusko ado ado
Jaji kisado Walume ndago
Hili Mturu au Sago
Kiitikio:
Usawa ni ngumu
Hata ukivuta ndumu (eeeh waah)
Ikibidi sana jua
Utakunywa sumu (eeeh waah)
Eeeh ngangari Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju
Aaeeh ngangari
Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju.
Verse 2:
(Inspector Haroun)
Akwei..yeeee
Miyangu nikulongile kunihulika ?
(Nikuhulika buleee..)
Kulonda kazi ya muziki
Ugangamale..
Nataka kwenda msanga
Ooh nauli no bure (x3)
Masela mpo vipi (x2)
Wako ngangari..
Ngangari kinoma
Gangwe ipo vipi (x2)
Iko ngangari
Ngangari kinoma
Kiselasela
Kiselasela waah.!
Ngangari
Ngangari kinoma
************
Nakula-kula shazi
Kimang'aati
Mguu Kaaati
Kama hutaki taki
Kaa kati konoli kali
Ngoma inalamba chaki
Lamba shwari ki-kuvinjari
Bwimbi vigimbi mashukishuki
Ushauri lukuki makila kitu nyoo Cap
Mambo ya visola sembe chapa mazola utagoshoa
Yeah Poa poa kata dau
Finya kinyalu mchumpa Peru
Tuliza maweruweru weru weru
Sound mvua ngoma bamvua
Unakachaa dengerua
Inspector Harun alitupiga sana kamba hata kwenye" mtoto geti kali" anakuambia " mtoto white,softy,black beauty,maji ya kunde ,chotara,uso usio na chunusi.
Sasa imagine huyo mrembo ana rangi gani au anakuwa anabadilibadili make up
Utofauti wa rap katuni na rap zingine nini mkuuRap Katuni
Ila yeye na Nature inaonekana walikuwa wa uswahilini sanaInspector style yake anapenda kurudia neno moja kwa misemo tofauti tofauti.
Mara vikaanza viboko ,bakora ,stick ,michalazo - Heka Heka za teacher.
Mtoto kila kitu kwao stock ,Beef Cow Kitimoto Pork - Mtoto wa Geti kali.
Kwenye friji ,friza vimiminika vya kumwagililu mpaka kusaza - Geti kali.
Chechela Segedansi Nondo Gereza ,inside ,Ndichi ,Ngome ,Lupango Kunapotekeza - Wanaoenda Jela ft LWP
mambo ya sanaa, mtoto mkali hadi kamtia kiwewe 😀Inspector Harun alitupiga sana kamba hata kwenye" mtoto geti kali" anakuambia " mtoto white,softy,black beauty,maji ya kunde ,chotara,uso usio na chunusi.
Sasa imagine huyo mrembo ana rangi gani au anakuwa anabadilibadili make up
Kwao obeiy ostabey masakiMaji ya kunde, kaenda hewani sekunde!
Rap Nyingine Kila Mtu Anaweza Kuielewa InachoongeleAUtofauti wa rap katuni na rap zingine nini mkuu
Rap Katuni,cha ajabu kipindi kile navuta nilikua naelewa kila kitu kilichoimbwa,ila sasa hivi ndio nagundua bangi ilikua inanidanganya😅Huu wimbo ulikuwa una vibe kali sana enzi hizo lakini tuliishia kupenda tu namna wanavyo flow, mashairi yalitupa mtihani kuyaelewa.
Verse 1:
(Luteni Karama)
Hili daruga
Kichugachuga
Ung'eng'e zali,
Mazabe, take care
Machizi wanatambaa na boda
Masela, masimela, wajelajela
Bongo wanahisi wapo akhera
Viepe dume mi-cassava ma-water
Kamili kimentali, Gado Ki-embassador
Kuna nyolo kwa chabo
Kisabosa
Mwangaluka ngosha,
Mulimhola, Mwadela
Ngoma inayeya
Mbona bye yekete
Mambo visadoli
Makonkodi kinyolodi
Kwa lodi makatalogi
Kocho ukiitia displini
Utazimia na roho yako
Watu tukiikamatia mitandao
Wiz kata shingo
Wachizi wetu
Waruke na mandingo
Depo moko mtu mmoko
Dili zote magendo
Ukizubaa kitendo
Kwa taarifa yako
Kitu kibolibo mnala
Watu tupo majalala
Mkangafu ngalangala
Mavumba kujifukizia
Manuva kuparata
Mesheni za kutempa
Za kuchumpa za kupalama
Nanga inapaa
Hiki sasa kiama dunia
Nyanga, ekamtoo, stemkoo
Dusko dusko ado ado
Jaji kisado Walume ndago
Hili Mturu au Sago
Kiitikio:
Usawa ni ngumu
Hata ukivuta ndumu (eeeh waah)
Ikibidi sana jua
Utakunywa sumu (eeeh waah)
Eeeh ngangari Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju
Aaeeh ngangari
Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju.
Verse 2:
(Inspector Haroun)
Akwei..yeeee
Miyangu nikulongile kunihulika ?
(Nikuhulika buleee..)
Kulonda kazi ya muziki
Ugangamale..
Nataka kwenda msanga
Ooh nauli no bure (x3)
Masela mpo vipi (x2)
Wako ngangari..
Ngangari kinoma
Gangwe ipo vipi (x2)
Iko ngangari
Ngangari kinoma
Kiselasela
Kiselasela waah.!
Ngangari
Ngangari kinoma
************
Nakula-kula shazi
Kimang'aati
Mguu Kaaati
Kama hutaki taki
Kaa kati konoli kali
Ngoma inalamba chaki
Lamba shwari ki-kuvinjari
Bwimbi vigimbi mashukishuki
Ushauri lukuki makila kitu nyoo Cap
Mambo ya visola sembe chapa mazola utagoshoa
Yeah Poa poa kata dau
Finya kinyalu mchumpa Peru
Tuliza maweruweru weru weru
Sound mvua ngoma bamvua
Unakachaa dengerua
Vipi Nature alivyotupiga kwenye "inaniuma sana"Inspector Harun alitupiga sana kamba hata kwenye" mtoto geti kali" anakuambia " mtoto white,softy,black beauty,maji ya kunde ,chotara,uso usio na chunusi.
Sasa imagine huyo mrembo ana rangi gani au anakuwa anabadilibadili make up