Wengi mpaka leo hatujui kiliongelewa nini kwenye Ngangari ya Gangwe Mobb, mliojua tunaomba mtusaidie

Wengi mpaka leo hatujui kiliongelewa nini kwenye Ngangari ya Gangwe Mobb, mliojua tunaomba mtusaidie

Nilielrwaga kipindi hicho, sasa nimesahau.
Nyimbo nyingi na kazi za sanaa kwa ujumla hueleweka kwa wakati uliopo 1
 
Huu wimbo ulikuwa una vibe kali sana enzi hizo lakini tuliishia kupenda tu namna wanavyo flow, mashairi yalitupa mtihani kuyaelewa.

Verse 1:
(Luteni Karama)

Hili daruga
Kichugachuga
Ung'eng'e
zali,
Mazabe, take care
Machizi wanatambaa na boda
Masela, masimela, wajelajela
Bongo wanahisi wapo akhera
Viepe dume mi-cassava ma-water
Kamili kimentali, Gado Ki-embassador
Kuna nyolo kwa chabo
Kisabosa
Mwangaluka
ngosha,
Mulimhola, Mwadela
Ngoma inayeya
Mbona bye yekete
Mambo visadoli
Makonkodi kinyolodi

Kwa lodi makatalogi
Kocho ukiitia displini
Utazimia na roho yako
Watu tukiikamatia mitandao
Wiz kata shingo
Wachizi wetu
Waruke na mandingo
Depo moko mtu mmoko

Dili zote magendo
Ukizubaa kitendo

Kwa taarifa yako
Kitu kibolibo mnala
Watu tupo majalala
Mkangafu ngalangala

Mavumba kujifukizia
Manuva kuparata
Mesheni za kutempa
Za kuchumpa za kupalama
Nanga inapaa

Hiki sasa kiama dunia
Nyanga, ekamtoo, stemkoo
Dusko dusko ado ado
Jaji kisado Walume ndago
Hili Mturu au Sago

Kiitikio:

Usawa ni ngumu
Hata ukivuta ndumu (eeeh waah)
Ikibidi sana jua
Utakunywa sumu (eeeh waah)
Eeeh ngangari Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju
Aaeeh ngangari
Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju.

Verse 2:
(Inspector Haroun)

Akwei..yeeee
Miyangu nikulongile kunihulika ?
(Nikuhulika buleee..)
Kulonda
kazi ya muziki
Ugangamale..
Nataka kwenda msanga
Ooh nauli no bure (x3)
Masela mpo vipi (x2)
Wako ngangari..
Ngangari kinoma
Gangwe ipo vipi (x2)
Iko ngangari
Ngangari kinoma
Kiselasela
Kiselasela waah.!
Ngangari
Ngangari kinoma
************
Nakula-kula shazi
Kimang'aati

Mguu Kaaati
Kama hutaki taki
Kaa kati konoli kali
Ngoma inalamba chaki
Lamba shwari ki-kuvinjari
Bwimbi vigimbi mashukishuki

Ushauri lukuki makila kitu nyoo Cap
Mambo ya visola sembe chapa mazola utagoshoa
Yeah Poa poa kata dau
Finya kinyalu mchumpa Peru

Tuliza maweruweru weru weru
Sound mvua ngoma bamvua
Unakachaa dengerua
Aisee nimetoka kapa.

Ila Gangwe Moh ilikuwa ni Musiclub matata sana.
 
Inspector Harun alitupiga sana kamba hata kwenye" mtoto geti kali" anakuambia " mtoto white,softy,black beauty,maji ya kunde ,chotara,uso usio na chunusi.

Sasa imagine huyo mrembo ana rangi gani au anakuwa anabadilibadili make up

Inspector style yake anapenda kurudia neno moja kwa misemo tofauti tofauti.

Mara vikaanza viboko ,bakora ,stick ,michalazo - Heka Heka za teacher.

Mtoto kila kitu kwao stock ,Beef Cow Kitimoto Pork - Mtoto wa Geti kali.

Kwenye friji ,friza vimiminika vya kumwagililu mpaka kusaza - Geti kali.

Chechela Segedansi Nondo Gereza ,inside ,Ndichi ,Ngome ,Lupango Kunapotekeza - Wanaoenda Jela ft LWP
 
Ila yeye na Nature inaonekana walikuwa wa uswahilini sana
 
Inspector Harun alitupiga sana kamba hata kwenye" mtoto geti kali" anakuambia " mtoto white,softy,black beauty,maji ya kunde ,chotara,uso usio na chunusi.

Sasa imagine huyo mrembo ana rangi gani au anakuwa anabadilibadili make up
mambo ya sanaa, mtoto mkali hadi kamtia kiwewe 😀
 
Utofauti wa rap katuni na rap zingine nini mkuu
Rap Nyingine Kila Mtu Anaweza Kuielewa InachoongeleA
Rap Katuni Ni Kwa Watu Maalum/Waliokusudiwa Tu
Hasa Wakazi Wa Temeke Mikoroshini, Mwembeyanga, Tandika
 
Oho ohoooo .
Maafande ndani ya track 1 huku Luteni huku Inspector angalia Lugha zao Sasa.
 
Huu wimbo ulikuwa una vibe kali sana enzi hizo lakini tuliishia kupenda tu namna wanavyo flow, mashairi yalitupa mtihani kuyaelewa.

Verse 1:
(Luteni Karama)

Hili daruga
Kichugachuga
Ung'eng'e
zali,
Mazabe, take care
Machizi wanatambaa na boda
Masela, masimela, wajelajela
Bongo wanahisi wapo akhera
Viepe dume mi-cassava ma-water
Kamili kimentali, Gado Ki-embassador
Kuna nyolo kwa chabo
Kisabosa
Mwangaluka
ngosha,
Mulimhola, Mwadela
Ngoma inayeya
Mbona bye yekete
Mambo visadoli
Makonkodi kinyolodi

Kwa lodi makatalogi
Kocho ukiitia displini
Utazimia na roho yako
Watu tukiikamatia mitandao
Wiz kata shingo
Wachizi wetu
Waruke na mandingo
Depo moko mtu mmoko

Dili zote magendo
Ukizubaa kitendo

Kwa taarifa yako
Kitu kibolibo mnala
Watu tupo majalala
Mkangafu ngalangala

Mavumba kujifukizia
Manuva kuparata
Mesheni za kutempa
Za kuchumpa za kupalama
Nanga inapaa

Hiki sasa kiama dunia
Nyanga, ekamtoo, stemkoo
Dusko dusko ado ado
Jaji kisado Walume ndago
Hili Mturu au Sago

Kiitikio:

Usawa ni ngumu
Hata ukivuta ndumu (eeeh waah)
Ikibidi sana jua
Utakunywa sumu (eeeh waah)
Eeeh ngangari Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju
Aaeeh ngangari
Waah, waah.!
Watu kumbe ngangari
Waaa segeju.

Verse 2:
(Inspector Haroun)

Akwei..yeeee
Miyangu nikulongile kunihulika ?
(Nikuhulika buleee..)
Kulonda
kazi ya muziki
Ugangamale..
Nataka kwenda msanga
Ooh nauli no bure (x3)
Masela mpo vipi (x2)
Wako ngangari..
Ngangari kinoma
Gangwe ipo vipi (x2)
Iko ngangari
Ngangari kinoma
Kiselasela
Kiselasela waah.!
Ngangari
Ngangari kinoma
************
Nakula-kula shazi
Kimang'aati

Mguu Kaaati
Kama hutaki taki
Kaa kati konoli kali
Ngoma inalamba chaki
Lamba shwari ki-kuvinjari
Bwimbi vigimbi mashukishuki

Ushauri lukuki makila kitu nyoo Cap
Mambo ya visola sembe chapa mazola utagoshoa
Yeah Poa poa kata dau
Finya kinyalu mchumpa Peru

Tuliza maweruweru weru weru
Sound mvua ngoma bamvua
Unakachaa dengerua
Rap Katuni,cha ajabu kipindi kile navuta nilikua naelewa kila kitu kilichoimbwa,ila sasa hivi ndio nagundua bangi ilikua inanidanganya😅
 
Inspector Harun alitupiga sana kamba hata kwenye" mtoto geti kali" anakuambia " mtoto white,softy,black beauty,maji ya kunde ,chotara,uso usio na chunusi.

Sasa imagine huyo mrembo ana rangi gani au anakuwa anabadilibadili make up
Vipi Nature alivyotupiga kwenye "inaniuma sana"
Na wenye kuhonga twelve million or six dollars..
 
Back
Top Bottom