middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,308
- 1,690
HamnaKiba ni mwimbaji mzuri tu....dai ni mbunifu zaidi ya kiba........
Fikiria upyaAlikiba hamtegemei Diamond hata kidogo na niwaambie tu jambo hakuna kitu rahisi kama mtenda kukubali kusuluhishwa kuliko mtendwa. matatizo yalianzia kwa diamond hili lipo wazi na kama mkisema jambo la kiki mnatakiwa mjue Alikiba ndo msanii wa pili Tanzania kuleta tuzo ya kimataifa nyumbani. msanii wa kwanza ni jay dee,
Kwaio tuliomo humu ni tengua kauriKama na wewe huna elements za kishoga ilikuwaje ukaingia humu?
Jamaa bravo. Good analysis.Ivi mimi ndio uzee unanikaribia au nawehuka?uyu mtoto Kiba si ndio ambae kaimba Cinderella?tunaposema anamtegemea Diamond tuna maana ipi hasa ni kipi anakifanya sasa ivi au anakipata hakuwahi kukifanya mwanzoni naamini Kiba alikuwepo hapo kitambo sana tena ni kati ya watoto wazembe sana maana anatumia nguvu ndogo sana kujitangaza mpaka hapo alipo ila angekua na juhudi angekua bora zaidi ya hapo na kwa nyimbo anazofanya ni aibu kusema zinategemea agombane na mtu ili zisogee mbona toka zamani watu wanasikiliza ngoma zake ivi aligombana na nani mpaka tukaisikiliza nakshi nakshi au single boy ni upuuzi kuamini wimbo wake wa Aje umefika hapo kisa beef na fulani huko nje ambako wameukubali nako ni wapuuzi kama sisi pia,simply Kiba ana fan base yake kubwa anayo toka kitambo kabla ya Diamond kama kuna mtu anamsikiliza Kiba kisa hampendi Nassibu basi hana akili maana muziki ni burudani ya nafsi na kwa nini waende kwa Kiba sio Timbulo au Barnaba.
Diamond ni kati ya vijana ambao ni talented sana yeye sio mfanyabiashara tu ila amejifanya kua biashara iko wazi kabisa ana mashabiki wake wengi sana kwa sababu zao ni upuuzi aibuke shabiki wa Kiba akatae nguvu ya Diamond kwa muziki wake lazima tukubali haiwezekani awepo msanii mmoja popote pale na hakuna wa kuzui ushindani kwenye muziki hii hali ipo toka enzi hizo,bado natamani mtu ambae hana timu akiwa na akili timamu aniambie kwa nini uwepo wa Kiba unamtegemea Diamond na huo utegemezi umeanza lini.
Off topic.Kumbe akili unayo mkuu na busara pia,ila yakishaingia mambo ya siasa ndo unaamua kujitoa ufahamu.
Mkuu chukua novida hapo kwa mangi nakuja kulipa.
.....maneno ya domo aka chaijaba ayo Leo kasahau anasema yaishe..kingne kiba anauza mziki wake Sony,dizzer, na blog zingne zaid Ya 750 dunianai kote xo atuwez uza nyimbo zetu kwenye ka blog uchwara ka uko tandale....
Ukweli ni huu:Umenena Ukweli
huo ndio ukweli halisi!!
Kiba anatembelea kick kwa Diamond
kwanza kiba hana Busara,Hana nidhamu
hajui kujieleza,Malengo Zero
Nimtu asiye kwenda na wakati
Majivuno nizaidi ya Mwanamke!!
Kiukweli hata Mungu anaona wapi ampaishe mtu
laiti kama kiba angelikuwa na Mafanikio kama ya Diamond sijui ingelikuwaje!!
Yote na yote Diamond bado ni kioo cha watanzania
Naanzisha ikiwa ni majibu Kwa Uzi huu hapa.
Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?
Wengi wanamshangaa sana allykiba kwann hataki kupatanishwa na Diamond. Jibu ni simple tu..Dogo Ali yupo kwasababu ya kiki ya Diamond. Unamkumbuka kanumba na Ray ( Kigosi). Japo Ray aliaanza tokea zamani kwenye filamu na maigizo but hakuweza kumfikia Kwa nusu kipaji cha kanumba.
Kipind kile watu walikuwa wanawafananisha Ray na Kanumba..!! Kufaninishwa kule kulifanya hata wasanii km JB waonekane hawajui sana Kwa Ray. Japo hawa wawili hawakuwa na bifu but walitengeneza kaushindani ambapo kalikuwa kanambeba sana Ray..!! Leo kanumba hayupo, Ray kapotea sana..Ray hatrend kwenye muvi tena...anatrend Kwa mikorogo tu.
Tuje Kwa kiba.
Kiba anajua kabsa Siku atakayopatana na Diamond basis ndo mwisho wa kutrend. Kwa miziki anayoimba kiba anahitaji promo sana. Ile hata kumuandika hivi ni kumpa promo.
Kuna kipind Fulani nilikutana na abdu kiba( mdogo wa kiba) nilimuuliza mbn mnaweka bifu sana Kwa diamond wakati hana time na nyie..!! Alichojibu abdu alisema ni masuala ya kibiashara tu. Ali hamchukii diamond km watu wanavyodhani, but kuwa na bifu na Diamond kunamfanya anapata attention.
Abdu aliniambia pia hii bifu ilitengenezwa na clouds FM ili wawe wanapata watu kwenye fiesta Kwa uwepo wa alikiba kwakuwa diamond anawazinguaga clouds kwenye shoo za fiesta za mikoani.
Tusimlaumu sana kiba..kiba siyo msanii mzuri, yeye mwenyewe anajijua na hawezi kuwa msanii Mkubwa akikosa attention za diamond...!! Kiba bila diamond hana kitu.
Kwann diamond anamuhitaji kiba kipindi hiki?
Diamond mfanya biashara..na anataka kuwashawishi wasanii wa bongo fleva waingie makubaliano kwenye website yao ya kuuza mziki. Diamond mtoto wa mjini yupo radhi ajijushe ili apate mkwanja. Na Diamond anajua siku akipatana na kiba tu basi kiba Keisha Habari yake.
But kiba utatumia mgongo wa dai mpaka lini. ?
Ushauri Kwa diamond
Hawa wasanii wako wadogo kabla ya kutoa jiridhishe uwezo wao. Walianza vizuri but naona uwezo wao mdogo sana. Angalia kijuso ray/Dada ako sijui hata wameimba nini?
Niambie ya harmonise nyimbo ya kawaida sana. Mlianza vyema naona wenzako watakuangusha soon.hata producer laizer naye angalia kiwango chake.
Mkuu umeongea vizur mno...Ivi mimi ndio uzee unanikaribia au nawehuka?uyu mtoto Kiba si ndio ambae kaimba Cinderella?tunaposema anamtegemea Diamond tuna maana ipi hasa ni kipi anakifanya sasa ivi au anakipata hakuwahi kukifanya mwanzoni naamini Kiba alikuwepo hapo kitambo sana tena ni kati ya watoto wazembe sana maana anatumia nguvu ndogo sana kujitangaza mpaka hapo alipo ila angekua na juhudi angekua bora zaidi ya hapo na kwa nyimbo anazofanya ni aibu kusema zinategemea agombane na mtu ili zisogee mbona toka zamani watu wanasikiliza ngoma zake ivi aligombana na nani mpaka tukaisikiliza nakshi nakshi au single boy ni upuuzi kuamini wimbo wake wa Aje umefika hapo kisa beef na fulani huko nje ambako wameukubali nako ni wapuuzi kama sisi pia,simply Kiba ana fan base yake kubwa anayo toka kitambo kabla ya Diamond kama kuna mtu anamsikiliza Kiba kisa hampendi Nassibu basi hana akili maana muziki ni burudani ya nafsi na kwa nini waende kwa Kiba sio Timbulo au Barnaba.
Diamond ni kati ya vijana ambao ni talented sana yeye sio mfanyabiashara tu ila amejifanya kua biashara iko wazi kabisa ana mashabiki wake wengi sana kwa sababu zao ni upuuzi aibuke shabiki wa Kiba akatae nguvu ya Diamond kwa muziki wake lazima tukubali haiwezekani awepo msanii mmoja popote pale na hakuna wa kuzui ushindani kwenye muziki hii hali ipo toka enzi hizo,bado natamani mtu ambae hana timu akiwa na akili timamu aniambie kwa nini uwepo wa Kiba unamtegemea Diamond na huo utegemezi umeanza lini.
inakula sh ngap?Mkuu unajua kiba akifanya show dk 40 analipwaje? Ni hela ambayo wengi wetu humu tunaitafuta kwa miezi kadhaa kama sio miaka, kwahiyo ushaur wangu kwako jitahidi utafute njia na wewe kama hizo za kiba ili utengeneze mtonyo, pambana m
Itakuwa kwel uzee unakunyemelea mkuu pole San a kama hutamvui umuhimu Wa chibu kwa kiba na kiba kwa chibu
Soma vizuri post
Kiba ni sawa Timbulo tuAkipatana tu anashuka
Usijibizane na hao watoto wanaotumia mgongo wa Diamond kutangaza biashara zao za vest na suruali Instagram kila siku wanatusumbuaSamahani mkuu naomba unieleweshe sasa utegemezi wa Kiba kwa Diamond na ingekua vema ukaniambia kaanza lini utegemezi huo.
Nimesoma vizuri post ila ninachoelewa Kiba yupo muda sasa tena ameshafanya hit song kibao kabla hata hajaanza uyu Diamond na Alli ana fan base yake hata alipopumzika kufanya ngoma bado fan base yake ilikua pale naomba unipe kwa kina nini ambacho Kiba anakifanya kwa msaada wa Diamond na hakuwahi kukifanya.