Wengi msimshangae Ali Kiba, hakuna mtu anayempenda Diamond kama Ali Kiba

Yani unasema alikiba anategemea mbeleko ya diamond.Hivi alikiba alishafanya hit song ngapi kabla ya diamond
 
hii nisawa na chadema wanavyotengeneza kiki kupitia vyeti vya makonda. wakati wanajua wazi hakuna ujinga kama huo wa gwajima.
 
Umeeleza vyema!
Lakini wakati mwingine usijaribu kutumia Mfano wa namna hiyo (Mfano wa kubadilisha njisia).
 
.
.....maneno ya domo aka chaijaba ayo Leo kasahau anasema yaishe..kingne kiba anauza mziki wake Sony,dizzer, na blog zingne zaid Ya 750 dunianai kote xo atuwez uza nyimbo zetu kwenye ka blog uchwara ka uko tandale....
Mimi sina timu,Sijui team kiba/Team Wasafi.
Ila hiyo namba number 3 Imeniacha mdomo wazi,Jamani watu wanamipasho.
 
Katika kutafuta usingalie nani nashindana nae kwenye kipato itakicost kabisaaa
 
Bado hamjamsaidiaa hiyoo Kiba..jamaa ana dharau anajiona kafika wakati bado sana..hizo level zamsanii wa kimataifa badoo tunambebaa tu..hakuna anachofanya..jaribuni kuangalia renk za mzik wa afrika toka mwaka Jana mpka huu..mtaona diamond alivyooo kua na njaa ya kufika mbali zaid...kutangulia Si kitu. Kwel Ali alianza mzik kabla ya Di na kuuwa star kabla ya dai..nachowrza kusema anakwenda Bila focus ndio maana hajui wap alipo toka anaanza muziki
 
Hii ni sawa kumfananisha samatta na kina kichuya.....kila msanii ana malengo yke kubwa zaid ni kuwa msanii mkubwa afrika na dunia kwa ujumla...So Ali Kiba kweny safari hi angekua mbali sana coz alianza vizur akalewa sifa... Chibu anapita na kuwa juu yake kwa sababu ndgo sana Si kwamb anajua Kimba sana hapana..anajua nn anataka na nn afanye iki afike anapotaka hata kwa kujishusha...Na anafanikiwa.Sasa huyo Kiba ambaye yko Chini Alf hatambui kama yuko Chini.. Inasikitisha sanaa
 
Naamin alipoa fika Chibu kwenye kaz zake huwa afikirii tena hawa wasanii wa bongo kama washindni wake...anafikiria atafanyaje Kina sarkodii... Davido. Tiwa savege na wengine wakubwa Africa waendeleee kumsubir.. Istoshe soko la mziki wa afrika liko Lagos ikiweza kutoboa hapo bas we Ni internenational. Kuna wasanii weng wakubwa na wakali. Kitu ambacho Ali Kiba hawezi.
 
Fan base ya Kiba huwezi kulinganisha na Fan base ya Diamond.. Kiba bado sanaaaaa..
 

Naona umehamisha goli mkuu,ishu hapa ni kwamba Kiba anategemea Beef na Diamond aweze ku-survive kwenye music industry na hapo ndipo nimetaka kujua msaada wa beef kwa Kiba kama wanavyoamini watu kua Diamond hafaidiki na hiyo beef yao kabisa na ikitokea hakuna beef wanaamini Kiba utakua mwisho wake kwenye music kuhusu comparison kati yao sitaki kua mnafiki niko mbali na music wao na kila mtu anaamini tofauti linapokuja suala na mwanamuziki bora wapo wanaoamini kwenye music tu na wapo wanaongalia mafanikio ya pesa and the like kuna mshikaji wangu yeye msanii bora wa kiume Barnaba na hataki mjadala ana criteria zake hapo.
 
Tushasema hatutaki mazoea.

Mlisema mziki wake unaishia Chalinze na mkatamba Website yenu inapatikana dunia nzima sasa kwanini msiweke nyimbo zenu wenyewe mnazitaka nyimbo zinazoishia Chalinze ili iweje?!
Ahahahahahah wambie washatimua mavumbi wanatafuta pakuhemea
 
Umeamua kukomelea Msumari kabisa
 
.
.....maneno ya domo aka chaijaba ayo Leo kasahau anasema yaishe..kingne kiba anauza mziki wake Sony,dizzer, na blog zingne zaid Ya 750 dunianai kote xo atuwez uza nyimbo zetu kwenye ka blog uchwara ka uko tandale....
Popote ulipo agiza Coke baridi ntalipa
 
We

We jamaa hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…