Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijibizane na hao watoto wanaotumia mgongo wa Diamond kutangaza biashara zao za vest na suruali Instagram kila siku wanatusumbua
Umeeleza vyema!Ukweli ni huu:
Kiba ni kama mwanamke mrembo sana,anayeamini urembo wake unambeba hivyo hana haja ya kujituma sana akiwa na mumewe!Mumewe anaridhika na urembo wake japo kama angejituma kwa juhudi basi ingekuwa balaa!
Diamond ni kama mwanamke ambaye yuko katikati,sio mbaya wala sio mrembo!Hivyo anaamini kuendelea kumuweka mumewe ndani ni kwa kujituma kwa juhudi zote na kuwa mnyenyekevu kwa mumewe!Mumewe anajikuta anaridhika na hilo na kudumisha ndoa maradufu!
Sijui umeelewa???
Mimi sina timu,Sijui team kiba/Team Wasafi..![]()
.....maneno ya domo aka chaijaba ayo Leo kasahau anasema yaishe..kingne kiba anauza mziki wake Sony,dizzer, na blog zingne zaid Ya 750 dunianai kote xo atuwez uza nyimbo zetu kwenye ka blog uchwara ka uko tandale....
Kuna watu wagumu kuelewa!Inabidi tuUmeeleza vyema!
Lakini wakati mwingine usijaribu kutumia Mfano wa namna hiyo (Mfano wa kubadilisha njisia).
Bado hamjamsaidiaa hiyoo Kiba..jamaa ana dharau anajiona kafika wakati bado sana..hizo level zamsanii wa kimataifa badoo tunambebaa tu..hakuna anachofanya..jaribuni kuangalia renk za mzik wa afrika toka mwaka Jana mpka huu..mtaona diamond alivyooo kua na njaa ya kufika mbali zaid...kutangulia Si kitu. Kwel Ali alianza mzik kabla ya Di na kuuwa star kabla ya dai..nachowrza kusema anakwenda Bila focus ndio maana hajui wap alipo toka anaanza muzikiIvi mimi ndio uzee unanikaribia au nawehuka?uyu mtoto Kiba si ndio ambae kaimba Cinderella?tunaposema anamtegemea Diamond tuna maana ipi hasa ni kipi anakifanya sasa ivi au anakipata hakuwahi kukifanya mwanzoni naamini Kiba alikuwepo hapo kitambo sana tena ni kati ya watoto wazembe sana maana anatumia nguvu ndogo sana kujitangaza mpaka hapo alipo ila angekua na juhudi angekua bora zaidi ya hapo na kwa nyimbo anazofanya ni aibu kusema zinategemea agombane na mtu ili zisogee mbona toka zamani watu wanasikiliza ngoma zake ivi aligombana na nani mpaka tukaisikiliza nakshi nakshi au single boy ni upuuzi kuamini wimbo wake wa Aje umefika hapo kisa beef na fulani huko nje ambako wameukubali nako ni wapuuzi kama sisi pia,simply Kiba ana fan base yake kubwa anayo toka kitambo kabla ya Diamond kama kuna mtu anamsikiliza Kiba kisa hampendi Nassibu basi hana akili maana muziki ni burudani ya nafsi na kwa nini waende kwa Kiba sio Timbulo au Barnaba.
Diamond ni kati ya vijana ambao ni talented sana yeye sio mfanyabiashara tu ila amejifanya kua biashara iko wazi kabisa ana mashabiki wake wengi sana kwa sababu zao ni upuuzi aibuke shabiki wa Kiba akatae nguvu ya Diamond kwa muziki wake lazima tukubali haiwezekani awepo msanii mmoja popote pale na hakuna wa kuzui ushindani kwenye muziki hii hali ipo toka enzi hizo,bado natamani mtu ambae hana timu akiwa na akili timamu aniambie kwa nini uwepo wa Kiba unamtegemea Diamond na huo utegemezi umeanza lini.
Bado hamjamsaidiaa hiyoo Kiba..jamaa ana dharau anajiona kafika wakati bado sana..hizo level zamsanii wa kimataifa badoo tunambebaa tu..hakuna anachofanya..jaribuni kuangalia renk za mzik wa afrika toka mwaka Jana mpka huu..mtaona diamond alivyooo kua na njaa ya kufika mbali zaid...kutangulia Si kitu. Kwel Ali alianza mzik kabla ya Di na kuuwa star kabla ya dai..nachowrza kusema anakwenda Bila focus ndio maana hajui wap alipo toka anaanza muziki
Ahahahahahah wambie washatimua mavumbi wanatafuta pakuhemeaTushasema hatutaki mazoea.
Mlisema mziki wake unaishia Chalinze na mkatamba Website yenu inapatikana dunia nzima sasa kwanini msiweke nyimbo zenu wenyewe mnazitaka nyimbo zinazoishia Chalinze ili iweje?!
Umeamua kukomelea Msumari kabisaNafurahia sana mambo haya...
Mnalazimisha kugombana na kiba halaf yy hana time
Mnatoa nyimbo mnavyotaka lakin yy yupo kimya
Mnamlazimisha aongee halafu yy anaingia studio na kuwaambia Kama vip Aje
Mnatengeneza skendo zenu na mademu wenu yy anacheza gofu gymkana.... Msilazimishe ugomvi maana kiba hana ugomvi na mtu
Popote ulipo agiza Coke baridi ntalipa.![]()
.....maneno ya domo aka chaijaba ayo Leo kasahau anasema yaishe..kingne kiba anauza mziki wake Sony,dizzer, na blog zingne zaid Ya 750 dunianai kote xo atuwez uza nyimbo zetu kwenye ka blog uchwara ka uko tandale....
kwani na wewe usianzishe bifu na Domo ili upate attention kama KibaAkipatana tu anashuka
Agiza kanda yetu bia yetu balimi bariiiiidi nakuja kulipa domo .mnafik mkubwqPopote ulipo agiza Coke baridi ntalipa
Yaani kiba akiwa kwenye intavyuu anavyojivuta kujibu swal mpaka natamani ningekuwa karibu ningemzabua kikonzi kichwani paa! Siku moja akaulizwa una mahusiano na jokate yaan alijizungusha mpaka nilibandika maharage yakaiva hajajibu ni ehhhh ehhh you know you know hapo kuna pozi anawekaga kama kumeza mate hivi,you know you know za nn kiingereza chenyewe hajui awe anasema ndiyo au hapana kijulikane kama ni cheus au cheupe you know apeleke kariakoo ila kuimba anaimba sifa ya MTU apewe tu ...bifu isiishe maana ina faida pande zote Mbili... yoooooo pop it in .