Wengi msimshangae Ali Kiba, hakuna mtu anayempenda Diamond kama Ali Kiba

Wengi msimshangae Ali Kiba, hakuna mtu anayempenda Diamond kama Ali Kiba

Ivi mimi ndio uzee unanikaribia au nawehuka?uyu mtoto Kiba si ndio ambae kaimba Cinderella?tunaposema anamtegemea Diamond tuna maana ipi hasa ni kipi anakifanya sasa ivi au anakipata hakuwahi kukifanya mwanzoni naamini Kiba alikuwepo hapo kitambo sana tena ni kati ya watoto wazembe sana maana anatumia nguvu ndogo sana kujitangaza mpaka hapo alipo ila angekua na juhudi angekua bora zaidi ya hapo na kwa nyimbo anazofanya ni aibu kusema zinategemea agombane na mtu ili zisogee mbona toka zamani watu wanasikiliza ngoma zake ivi aligombana na nani mpaka tukaisikiliza nakshi nakshi au single boy ni upuuzi kuamini wimbo wake wa Aje umefika hapo kisa beef na fulani huko nje ambako wameukubali nako ni wapuuzi kama sisi pia,simply Kiba ana fan base yake kubwa anayo toka kitambo kabla ya Diamond kama kuna mtu anamsikiliza Kiba kisa hampendi Nassibu basi hana akili maana muziki ni burudani ya nafsi na kwa nini waende kwa Kiba sio Timbulo au Barnaba.
Diamond ni kati ya vijana ambao ni talented sana yeye sio mfanyabiashara tu ila amejifanya kua biashara iko wazi kabisa ana mashabiki wake wengi sana kwa sababu zao ni upuuzi aibuke shabiki wa Kiba akatae nguvu ya Diamond kwa muziki wake lazima tukubali haiwezekani awepo msanii mmoja popote pale na hakuna wa kuzui ushindani kwenye muziki hii hali ipo toka enzi hizo,bado natamani mtu ambae hana timu akiwa na akili timamu aniambie kwa nini uwepo wa Kiba unamtegemea Diamond na huo utegemezi umeanza lini.
Tatizo wameanza kufatilia mziki kipindi cha kina sam wa ukweli na yule aliimba ulofa sijui nani, lakini kwa sisi wahenga wa mziki tunaamini kiba anafanya yeye kama yeye na hafanyi kiushindani Ndio maana chibu anaweza toa nyimbo tano kwa mwaka kiba akatoa mmoja tu. Sasa hapo anatembelea nyota ya diamond kivipi?
 
Back
Top Bottom