Wengi wa wale '"wababe" na "superstars" wa shuleni wanakujaga kuwa na maisha ya ovyo ovyo ukubwani

Sio wote, wengine wamekuwa viongozi huko serikalini kama kina Sabaya na hata kwenye kampuni mbalimbali pia.
sabaya kiongozi wa idara gani huko serikalini
 
Huku wale wavivu wamechukua shortcut wamekuwa wana siasa wametusua
yuko mbunge mmoja namfahamu alikuwa kilaza balaa sekondari. Eti leo hii ni mbunge! Jimboni kwake kuna jamaa maarufu alishawahi kuwa mbunge wa jimbo hilo huko nyuma anataka kurudi tena bungeni, huyu wa sasa anaweza asirudi maana wa zamani ana nguvu kisiasa. Itabidi asubiri ukuu wa wilaya tu kama hatarudi bungeni
 
Vipanga na watu waliokuwa na jitihada kipindi cha school. Hakuna mchovu hata mmoja
For real ni wachache sana life linakuwa ovyo

Maisha yanawez kuwa magumu ila akapambana nayo

Tofauti na hawa wengine wanageuka hadi upinde ili wale tu lunch
 
For real ni wachache sana life linakuwa ovyo

Maisha yanawez kuwa magumu ila akapambana nayo

Tofauti na hawa wengine wanageuka hadi upinde ili wale tu lunch
True mkuu, imagine kwa sisi tuliosoma shule za serikali. Mnashaangaa kati ya watu 200 mnatoboa labda 20

Hapo ni hakuna spoon feeding ni kujifunza na kujitafutia kila kitu. Sasa mtu mwenye hii spirit katika umri mdogo, huko mbeleni ni nadra akashindwa kupambana na hata akiingia street kuna namna ameshakuwa shaped kupambana
 
Kuna takataka nyingi nazifahamu hazikuwa na uwezo mkubwa darasani, zikaingia siasani eti leo hii ni wabunge, madiwani, watendaji, wenyeviti wa vijiji, mitaa na vitongoji, wengine ni wachungaji na masheikh. Watatuambia/kutueleza nini kwa sisi tunaowajua uwezo wao darasani?
 
Kwa experience yangu binafsi mkuu.

Na pengine uchovu naoumaanisha sio kuwa wao ni matajiri Ila wanaishi tu maisha ambapo kula, usafiri na pa kukaa sio stress kwao

Japo wengi huona kama hizi ni basics kwa sababu walitarajia labda watakuwa matajiri kutokana na uwezo wao lakini katika nchi kama Tanzania ambapo hazina systems stahiki za kuwapa motisha wagunduzi au tu kulinda haki zao. Au hata kuangalia ni vipi wanaweza kuwatumia katika nafsi let's say za uongozi

Watu kama hawa ni ngumu kutoboa maana wana principles ambazo zingefaa kwa nchi zilizoendelea kuliko huku ambapo connection ni kuwa chawa ili uingie sehemu kama za uongozi hata kama quality za kuongoza huna
 
Sio wote.
 
Kwli mkuu labda kijijini kwao wamrogee hahah
 
Uko sahihi mleta mada
 
back in secondary school i was that cool kid who sat at the front of the class, while those rude back-bencher boys often bullied me.

fast forward to today and guess where they are?, living quite miserable lives. i recently ran into one of them at mwenge,he was struggling so much that asked me for bus fare from mwenge to mbagala.🤣
 
Kwenye saikolojia ukiwa na akili nyingi ,Ina maana una tatizo la akili, zikiwa kidogo pia ujue una tatizo vilevile, mifumo yetu ya kitaaluma ndio mibovu,wenzetu wakigundua mtoto ni exceptional wanaanza kumlea, hii ni kwa sababu kwa uwezo walionao ni rahisi kuharibikiwa maisha,na sababu kubwa ni kwa sababu jamii wanayoishi nayo wengi Wana uwezo mdogo wa akili kuliko wao,so wanaishia kuwa disappointed maana wao Wana mawazo makubwa ,wakati jamii Inaaamini kutokuwezekana kwa Kila kitu, asilimia 60 ya watu wenye mafanikio ni watu wenye uwezo wa kati, hawa huwatumia hao wenye uwezo mkubwa kufanikisha adhima zao, pamoja na magenius kadhaa kushika record ya Dunia kwa utajili ila amini watu waliokuwa na akili nyingi darasani wengi Wana maisha ya kawaida kwa sababu wameajiliwa na wajasiliamali ,na wanalipwa kwa kutumika
 
Haaha, its sad but its the truth
 
Sahihi Kbsa hii
 
Hamjui kutofautisha mtu mwenye akili na mtu aliyekuwa anajua kukariri.

Vitu tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…