fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
sabaya kiongozi wa idara gani huko serikaliniSio wote, wengine wamekuwa viongozi huko serikalini kama kina Sabaya na hata kwenye kampuni mbalimbali pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sabaya kiongozi wa idara gani huko serikaliniSio wote, wengine wamekuwa viongozi huko serikalini kama kina Sabaya na hata kwenye kampuni mbalimbali pia.
yuko mbunge mmoja namfahamu alikuwa kilaza balaa sekondari. Eti leo hii ni mbunge! Jimboni kwake kuna jamaa maarufu alishawahi kuwa mbunge wa jimbo hilo huko nyuma anataka kurudi tena bungeni, huyu wa sasa anaweza asirudi maana wa zamani ana nguvu kisiasa. Itabidi asubiri ukuu wa wilaya tu kama hatarudi bungeniHuku wale wavivu wamechukua shortcut wamekuwa wana siasa wametusua
For real ni wachache sana life linakuwa ovyoVipanga na watu waliokuwa na jitihada kipindi cha school. Hakuna mchovu hata mmoja
Ukiwa unatoka familia mbovu, masikini sana au za uswazi hata kama unashika namba moja darasani nafasi yako ya kufanikiwa baadaye maishani ni finyu ukilinganisha na wanaotoka familia bora hata kama hawafanyi vizuri darasani au ni vilaza.elezea
WapoVipanga na watu waliokuwa na jitihada kipindi cha school. Hakuna mchovu hata mmoja
True mkuu, imagine kwa sisi tuliosoma shule za serikali. Mnashaangaa kati ya watu 200 mnatoboa labda 20For real ni wachache sana life linakuwa ovyo
Maisha yanawez kuwa magumu ila akapambana nayo
Tofauti na hawa wengine wanageuka hadi upinde ili wale tu lunch
Kwa experience yangu binafsi mkuu.Wapo
Sio wote.Hali inasikitisha kwa wale waliokuwa wanakimbiza namba moja darasani anzia msingi, sekondari. Unamkuta mtaani kachakaa au yuko kijijini kwao anakunywa pombe za kiemyeji na kuvuta sigara za sonyo/igoso. Mara ni mwenyekiti wa kitongoji wakati mwenzake ambaye hata arobaini alikuwa hakamati ni mbunge. Inasikitisha sana sijui akili alizipeleka wapi mpaka anaishia vile
Kwli mkuu labda kijijini kwao wamrogee hahahTrue mkuu, imagine kwa sisi tuliosoma shule za serikali. Mnashaangaa kati ya watu 200 mnatoboa labda 20
Hapo ni hakuna spoon feeding ni kujifunza na kujitafutia kila kitu. Sasa mtu mwenye hii spirit katika umri mdogo, huko mbeleni ni nadra akashindwa kupambana na hata akiingia street kuna namna ameshakuwa shaped kupambana
Wengi wanakuwaga bums/bust
Unakuta yule ambaye ni alikuwaga chombo ya darasa na maringo juu huku akiwaona wengine sio level yake leo amezalia nyumbani mara mbili, hataki kufanya kazi za kawaida na ajira yake ni kudanga na bwana za watu huku pesa yote anaimalizia kulewa na kuparty na wenzake kila siku.
Yule mbabe wa darasa , leo amekuwa tapeli mjini, ameshakamatwa mara mbili kwa kosa la vurugu au fraud na anasubiria baba ake afe wauze nyumba waagawane pesa.
Yule bishoo wa darasa, leo utakuta ameashazunguka studio zote anakataliwa kuimba maana alidhani ana kipaji cha mziki, amemzalisha binti wa watu na wanamlelea mtoto nyumbani kwa mama yake. Life likawa tough, hawezi fanya kazi ngumu maana ana mentallity ya usharo, alipoona mammbo ni magumu akaanza kutaambaa na mishangazi (mme wake akajua akafumuliwa choo au kuwekwaa kwenye kiroba) au kugeuka upinde.
Kwenye saikolojia ukiwa na akili nyingi ,Ina maana una tatizo la akili, zikiwa kidogo pia ujue una tatizo vilevile, mifumo yetu ya kitaaluma ndio mibovu,wenzetu wakigundua mtoto ni exceptional wanaanza kumlea, hii ni kwa sababu kwa uwezo walionao ni rahisi kuharibikiwa maisha,na sababu kubwa ni kwa sababu jamii wanayoishi nayo wengi Wana uwezo mdogo wa akili kuliko wao,so wanaishia kuwa disappointed maana wao Wana mawazo makubwa ,wakati jamii Inaaamini kutokuwezekana kwa Kila kitu, asilimia 60 ya watu wenye mafanikio ni watu wenye uwezo wa kati, hawa huwatumia hao wenye uwezo mkubwa kufanikisha adhima zao, pamoja na magenius kadhaa kushika record ya Dunia kwa utajili ila amini watu waliokuwa na akili nyingi darasani wengi Wana maisha ya kawaida kwa sababu wameajiliwa na wajasiliamali ,na wanalipwa kwa kutumikaHali inasikitisha kwa wale waliokuwa wanakimbiza namba moja darasani anzia msingi, sekondari. Unamkuta mtaani kachakaa au yuko kijijini kwao anakunywa pombe za kiemyeji na kuvuta sigara za sonyo/igoso. Mara ni mwenyekiti wa kitongoji wakati mwenzake ambaye hata arobaini alikuwa hakamati ni mbunge. Inasikitisha sana sijui akili alizipeleka wapi mpaka anaishia vile
Haaha, its sad but its the truthback in secondary school i was that cool kid who sat at the front of the class, while those rude back-bencher boys often bullied me.
fast forward to today and guess where they are?, living quite miserable lives. i recently ran into one of them at mwenge,he was struggling so much that asked me for bus fare from mwenge to mbagala.🤣
Sahihi Kbsa hiiKwa experience yangu binafsi mkuu.
Na pengine uchovu naoumaanisha sio kuwa wao ni matajiri Ila wanaishi tu maisha ambapo kula, usafiri na pa kukaa sio stress kwao
Japo wengi huona kama hizi ni basics kwa sababu walitarajia labda watakuwa matajiri kutokana na uwezo wao lakini katika nchi kama Tanzania ambapo hazina systems stahiki za kuwapa motisha wagunduzi au tu kulinda haki zao. Au hata kuangalia ni vipi wanaweza kuwatumia katika nafsi let's say za uongozi
Watu kama hawa ni ngumu kutoboa maana wana principles ambazo zingefaa kwa nchi zilizoendelea kuliko huku ambapo connection ni kuwa chawa ili uingie sehemu kama za uongozi hata kama quality za kuongoza huna
Hamjui kutofautisha mtu mwenye akili na mtu aliyekuwa anajua kukariri.Hali inasikitisha kwa wale waliokuwa wanakimbiza namba moja darasani anzia msingi, sekondari. Unamkuta mtaani kachakaa au yuko kijijini kwao anakunywa pombe za kiemyeji na kuvuta sigara za sonyo/igoso. Mara ni mwenyekiti wa kitongoji wakati mwenzake ambaye hata arobaini alikuwa hakamati ni mbunge. Inasikitisha sana sijui akili alizipeleka wapi mpaka anaishia vile