Wengi wa wale '"wababe" na "superstars" wa shuleni wanakujaga kuwa na maisha ya ovyo ovyo ukubwani

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wengi wanakuwaga bums/bust

Unakuta yule ambaye ni alikuwaga chombo ya darasa na maringo juu huku akiwaona wengine sio level yake leo amezalia nyumbani mara mbili, hataki kufanya kazi za kawaida na ajira yake ni kudanga na bwana za watu huku pesa yote anaimalizia kulewa na kuparty na wenzake kila siku.

Yule mbabe wa darasa , leo amekuwa tapeli mjini, ameshakamatwa mara mbili kwa kosa la vurugu au fraud na anasubiria baba ake afe wauze nyumba waagawane pesa.

Yule bishoo wa darasa, leo utakuta ameashazunguka studio zote anakataliwa kuimba maana alidhani ana kipaji cha mziki, amemzalisha binti wa watu na wanamlelea mtoto nyumbani kwa mama yake. Life likawa tough, hawezi fanya kazi ngumu maana ana mentallity ya usharo, alipoona mammbo ni magumu akaanza kutaambaa na mishangazi (mme wake akajua akafumuliwa choo au kuwekwaa kwenye kiroba) au kugeuka upinde.
 
Sio wote, wengine wamekuwa viongozi huko serikalini kama kina Sabaya na hata kwenye kampuni mbalimbali pia.
 
Kuna mmoja alianza wizi toka darasani tulivyomaliza tu Olevel akawa muhalifu mtaani akaenda jela kama mara 3 kichwani zikajaa kumbukumbu za uhalifu, ikapita miaka kama 6 bila kuonana nae siku moja nikarudi mkoa niliosoma mtaani nikakutana nae yuko na marafiki zake nikaenda kuwapa Hi, ila nikagundua jamaa hanikumbuki kabisa nikamuita pembeni ili nimkumbushe mi ni nani

Jamaa akaanza kutoa macho na wasiwasi wa kutosha mwenzake kichinichini anamwambia ni polisi huyo mwamba akaanza kujihami anakuja ila hanisogelei karibu, nikamtaja majina yake mawili akazidi kuogopa ikabidi nimkumbushe mi ni nani alicheka sana.
 
Kama unaamini kuwa kutakuwa na classmates wako humu basi obviously ni kwamba unawasema iwe ni directly au indirectly 😎🤝🏽
 
Hali inasikitisha kwa wale waliokuwa wanakimbiza namba moja darasani anzia msingi, sekondari. Unamkuta mtaani kachakaa au yuko kijijini kwao anakunywa pombe za kiemyeji na kuvuta sigara za sonyo/igoso. Mara ni mwenyekiti wa kitongoji wakati mwenzake ambaye hata arobaini alikuwa hakamati ni mbunge. Inasikitisha sana sijui akili alizipeleka wapi mpaka anaishia vile
 
Kuna mmoja alianza wizi toka darasani tulivyomaliza tu Olevel akawa muhalifu mtaani akaenda jela kama mara 3 kichwani zikajaa kumbukumbu za uhalifu, ikapita miaka kama 6 bila kuonana nae siku moja nikarudi mkoa niliosoma mtaani nikakutana nae yuko na marafiki zake nikaenda kuwapa Hi, ila nikagundua jamaa hanikumbuki kabisa nikamuita pembeni ili nimkumbushe mi ni nani

Jamaa akaanza kutoa macho na wasiwasi wa kutosha mwenzake kichinichini anamwambia ni polisi huyo mwamba akaanza kujihami anakuja ila hanisogelei karibu, nikamtaja majina yake mawili akazidi kuogopa ikabidi nimkumbushe mi ni nani alicheka sana.
Hahahhaha
 
Ongeza na wale wanashikaga namba moja class, kisha malizia na wale wahandsamu na mabyuti ndo utajua maisha haya kila mtu hutamba sizoni yake
Hahaa kila mtu lazima aonje ngumi za uhalisia wa life
 
Hali inasikitisha kwa wale waliokuwa wanakimbiza namba moja darasani anzia msingi, sekondari. Unamkuta mtaani kachakaa au yuko kijijini kwao anakunywa pombe za kiemyeji na kuvuta sigara za sonyo/igoso. Mara ni mwenyekiti wa kitongoji wakati mwenzake ambaye hata arobaini alikuwa hakamati ni mbunge. Inasikitisha sana sijui akili alizipeleka wapi mpaka anaishia vile
Huku wale wavivu wamechukua shortcut wamekuwa wana siasa wametusua
 
Hali inasikitisha kwa wale waliokuwa wanakimbiza namba moja darasani anzia msingi, sekondari. Unamkuta mtaani kachakaa au yuko kijijini kwao anakunywa pombe za kiemyeji na kuvuta sigara za sonyo/igoso. Mara ni mwenyekiti wa kitongoji wakati mwenzake ambaye hata arobaini alikuwa hakamati ni mbunge. Inasikitisha sana sijui akili alizipeleka wapi mpaka anaishia vile
Msemo wa best nasso life is chenjeeee h

Haha
 
Juhudi ni zetu. Maisha anapanga Mwenyezi MUNGU
 
Back
Top Bottom