Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

hizo ni akili finyu za makamaba and the lot in ccm, kwangu mimi nawaona hawa vijana kuwa potentially hazardous against ccm huko mitaani, vijijini na na kwingineko waliko sasa hadi tarehe 31 oktoba 2010 kuliok kama wangeruhusiwa kuwa vyuoni mwao.

kutokana na miscalculationa za ccm, chadema and the opposition ita benefit kwa kupata wasemaji na wawakilishi in different parts of the country. Nina uhakika mkubwa kuwa hata sasa wanachangia kwa kiwango kikubwa kuhamasisha watu kujazana katika mikutano ya kampeni ya dr slaa, watatumika kuwahamasisha watu kujitokeza kupiga kura na kulinda kura za wagombea wa chadema huko waliko.

ndio maana nathubutu kutamka kwa ccm imeishiwa fikra. Hivyo na na sisi wengine tuache kuwaiga ccm kulalama tu, lets seize the opportunity kwa kuwahamasisha hao vijana kulipa visasi vya kupokwa haki zao za kupiga kura kwa kuwahamasisha watanzania popote walipo washiriki kikamilifu kuleta mabadiliko mwaka 2010 kwa kujitokeza kupiga kura kwa wingi sana na kuwachagua wagombea wa chadema kwa wingi.

kwa kufanya hivyo watakuwa wametio mchango mkubwa kwa taifa hili unaozidi kura zao moja moja.
Nakubaliana nawe kwa asilimia mia kwani chachu kidogo huchachusha kibao.hao vijana ni zaidi ya punje moja ya baking powder

T
 
hizo ni akili finyu za makamaba and the lot in ccm, kwangu mimi nawaona hawa vijana kuwa potentially hazardous against ccm huko mitaani, vijijini na na kwingineko waliko sasa hadi tarehe 31 oktoba 2010 kuliok kama wangeruhusiwa kuwa vyuoni mwao.

kutokana na miscalculationa za ccm, chadema and the opposition ita benefit kwa kupata wasemaji na wawakilishi in different parts of the country. Nina uhakika mkubwa kuwa hata sasa wanachangia kwa kiwango kikubwa kuhamasisha watu kujazana katika mikutano ya kampeni ya dr slaa, watatumika kuwahamasisha watu kujitokeza kupiga kura na kulinda kura za wagombea wa chadema huko waliko.

ndio maana nathubutu kutamka kwa ccm imeishiwa fikra. Hivyo na na sisi wengine tuache kuwaiga ccm kulalama tu, lets seize the opportunity kwa kuwahamasisha hao vijana kulipa visasi vya kupokwa haki zao za kupiga kura kwa kuwahamasisha watanzania popote walipo washiriki kikamilifu kuleta mabadiliko mwaka 2010 kwa kujitokeza kupiga kura kwa wingi sana na kuwachagua wagombea wa chadema kwa wingi.

kwa kufanya hivyo watakuwa wametio mchango mkubwa kwa taifa hili unaozidi kura zao moja moja.

Exactly, you said it all, tulishasema pale Landmarks Hotel, wasipofungua vyuo imekula CCM 100%, tunasema tena wanavyuo wote hamasisheni, ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi, wazazi, majirani, vimada[if u have, i don't], wadogo, vipofu, wanadamu whatever is legal for voting kura zote CHADEMA, yaani CCM wamechemka, Makamba hajui, now inabackfire booooooooooooom, with 15 X +ve votes, hawakujua, wanachuo na familia zao tu ni tayari hasara kubwa kwa CCM, think first, then do, for CCM opposite is true, they try, then they think, this is very very wrong century for Trials & errors, watashaa, mbona naona 31 Oct. mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, DR goooooooooooooo
 
hizo ni akili finyu za makamaba and the lot in ccm, kwangu mimi nawaona hawa vijana kuwa potentially hazardous against ccm huko mitaani, vijijini na na kwingineko waliko sasa hadi tarehe 31 oktoba 2010 kuliok kama wangeruhusiwa kuwa vyuoni mwao.

kutokana na miscalculationa za ccm, chadema and the opposition ita benefit kwa kupata wasemaji na wawakilishi in different parts of the country. Nina uhakika mkubwa kuwa hata sasa wanachangia kwa kiwango kikubwa kuhamasisha watu kujazana katika mikutano ya kampeni ya dr slaa, watatumika kuwahamasisha watu kujitokeza kupiga kura na kulinda kura za wagombea wa chadema huko waliko.

ndio maana nathubutu kutamka kwa ccm imeishiwa fikra. Hivyo na na sisi wengine tuache kuwaiga ccm kulalama tu, lets seize the opportunity kwa kuwahamasisha hao vijana kulipa visasi vya kupokwa haki zao za kupiga kura kwa kuwahamasisha watanzania popote walipo washiriki kikamilifu kuleta mabadiliko mwaka 2010 kwa kujitokeza kupiga kura kwa wingi sana na kuwachagua wagombea wa chadema kwa wingi.

kwa kufanya hivyo watakuwa wametio mchango mkubwa kwa taifa hili unaozidi kura zao moja moja.
you are rear a great thinker. thanx
 
Jumla ya wanachuo ambao hawatapiga kura ni 60,000 Tanzania yote,unafikiri hao wanatosha wataweza kumuweka mzinzi madarakani?

hii sio busara kabisa! how can u make such a comment? Kura 60,000 zinamtosha kabisa mbunge mmoja! Hata kama unaona ni ndogo kwa kura ya urais, bado ina nafasi kubwa sana katika kuchangia jumla ya kura zote! Na la pili, kupiga kura ni haki ya mwananchi. Sasa inakuwaje ujinga wa wachache unawanyima haki watu elfu 60? ivi kwa nini Chadema isifungue kesi mara moja mahakamani kupinga decision ya serikali? Hii decision haiendani na haki zinazotambuliwa na Katiba ya Tanzania!!
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Huku ni kuwanyima haki Watanzania hawa kwa hujuma dhidi yao zinazofanywa na chama filisi. Si ajabu kwa ushindani mkubwa ambao Dr Slaa anawapa chama filisi mwaka huu tofauti kati ya chama kinachoshinda na kinashochindwa inaweza ikawa hiyo ya kura 60,000. Wanasheria wapenda haki Tanzania wafungue mashtaka dhidi ya Serikali ili kuhakikisha vijana hawa wanatumia haki yao ya kikatiba ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Tanzania. Si mnakumbuka mwaka 2000 zile kura 500,000 zilitoswa kule Florida ndizo zilizomkosesha ushindi Al Gore. Tusije kujuta baadaye ikiwa tofauti itakuwa ndogo sana na kuwakosesha Watanzania nafasi ya kukiondoa chama filisi madarakani.
 
Maghembe! kupiga kura ni kujihusisha na siasa?
Haya bana.
 
Kwa nini vyuo vichelewe kufunguliwa? Uchaguzi unahathiri vipi masomo yao? Lewis naye anasema jambo hili liko juu ya uwezo wake bila haya! UNDP wapeni vijana nauli na malazi kwa ajili ya kupiga kura kama kweli mna nia nzuri na uchaguzi mkuu wa Tanzania.
 
Jumla ya wanachuo ambao hawatapiga kura ni 60,000 Tanzania yote,unafikiri hao wanatosha wataweza kumuweka mzinzi madarakani?

Yes, Pengo or Mapengo,

Your statement proves who u're!
Waingereza wana msemo mmoja mzuri sana ambao watu kama wewe unakufaa,nanukuu"Shallow minds discuss people,Intelligent minds discuss ideas,Average minds discuss events''.

Pengo kwa kauli yako kuwa Dr.Slaa hawezi kuchaguliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu 60,000 eti ni mzinzi inaonyesha how Shallow minded u're. Nyie ndiyo type ya watu tunaowaita wana IQ(Intelligent quotient) ya kuku. Maadamu mtu atakuwa na punje zake za mtama,mahindi au mchele atakamata kuku kwa tani yake na kuwachinja na hakuna kuku hata mmoja anaweza kushtukia hizo punje kuwa ndiyo zinazowamaliza kuku wenzake!!!!!

Hapa tunazungumzia swala la Uchaguzi Mkuu 2010! Wanafunzi wa vyuo vikuu wamejiandikisha kwenye maeneo yao ya vyuo na NEC wakawapatia IDs za kupiga kura ambayo ni HAKI YA KIKATIBA YA KILA M-tz mwenye umri wa miaka 18+ akiwa na akili timamu. Serikali ya CCM wamefanya makusudi kuvifunga vyuo vikuu na kuvifungua BAADA YA UCHAGUZI!!Why?

CCM wanajua kabisa wasomi ni watu ambao wanajua kuchuja mambo na wanajua nani wa kumpa kura yao.Kwa hiyo wamefanya hila ya kuzuia vyuo visifunguliwe ili CHADEMA wakose kura za wasomi. Wewe unasema kura 60,000 si kitu???Are you serious? Hukumbuki kada wako al-maarufu kwa jina la komandoo alishinda kwa tofauti ya kura 0.2% pale visiwani na akatamka kuwa ushindi ni ushindi hata kama ni wa nusu mtu!!!??Kuwazuia watu 60,000 wasipige kura ni KUBAKA DEMOKRASIA,ni kuhujumu Uchaguzi. Hii inaashiria kuwa Uchaguzi wa mwaka huu HAUTAKUWA HURU NA HAKI!!!Halafu wewe unatuambia kuwa 60,000 si kitu.

Hao baba zako mafisadi/makada wa CCM wanajua umuhimu wa KURA HATA KAMA NI NUSU ACHILIA KURA MOJA!!!

Pengo zinduka toka kwenye lepe la usingizi na ubumbuazi wa CHAMA TWAWALA!!!!!

Wasalaamu
 
Duh mkuu ahsante sana, nimeisoma yote kama ilivyo! cha msingi hapa NEC watafute jawabu haraka ili waweze kuwapa uhuru wa kupiga kura. Lakini pia inawezekana ccm wanataka wawaweke roho juu juu ili waje wafungue chuo mwishoni karibia na uchaguzi.

But Tanzania siyo nchi yenye kutenda haki tena, wala siyo democrasia ya kweli maana naona kila kukicha maovu ya serikali yetu yanazidi yale ya nyuma. We need the change, and the change is now. Fight against Umimi, Fraud and so on ili tuishi kwa amani na upendo, tuweze kufurahia maisha wote siyo wateule wachache kama sasa.
 
Tutapigfa kura tukishindwa..tutashawishi umma......tutaona this year..!
 
WEWE HUNA TOFAUTI NA HUYU MPUUZI HAPA CHINI ANAYEDHANI KUWA KUPIGA KURA NI SIASA NA SIO HATI YA KIKATIBA. HALAFU ANAJIITA PROFESSOR, SIJUI PROFESSOR WA KATIKATI YA VIDOLA KUNAKOOTA FUNGUS AU VIPI. KWELI HII NCHI ITAENDELEA KAMA WATU WANA MAWAZO YA KIJINGA NAMNA HII KISA KULINDA ULAJI? PROFESSOR UMEKOSEA, ALIYEKUPA HUO UPROFESSOR AKISOMA HII ATAKUFA MANAKE HAKUJUA KAMA UNAWEZA KUWA MJINGA KIASI HIKI

KURA NI HAKI YA KIKATIBA, SIO SIASA!!!

Prof: Maghembe: Vyuo vikuu havitafunguliwa hadi Novemba

Na Richard Makore

5th October 2010

email.png

B-pepe

printer.png

Chapa

comment_bubble.png

Maoni

Maghembe%20J(7).jpg

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe

Serikali imesema haitabadili uamuzi wake wa kufungua vyuo vya elimu mwezi Novemba mwaka huu kama ilivyopanga licha ya kuwepo shinikizo la wanafunzi wanaotaka vifunguliwe ili kuwawezesha kwenda kupiga kura kwa kuwa wengi wao walijiandiskisha vyuoni.
Uamuzi huo wa serikali ulitangazwa jana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe, na kuongeza kuwa vyuo vya elimu ya juu sio taasisi zinazoendesha siasa, bali ni maeneo yanayotumika kufundisha watalaamu wa kada mbalimbali
Profesa Maghembe alihoji ni kwa nini wanafunzi hao washinikize vyuo vifunguliwe kwa madai ya kutaka wakapige kura wakati wao hawahusiani na siasa zozote zinazoendelea hapa nchini na badala yake wao ni wanafunzi wanaohitaji kufundishwa ili wawe watalaamu wa baadaye.
"Chuo kikuu sio sehemu ya kwenda kufanya siasa, bali ni sehemu ya kufundisha watalaam mbalimbali na kwa kweli nashangaa hawa wanafunzi kushinikiza vyuo vifunguliwe,"
alliliambia NIPASHE.
Alifafanua kwamba vyuo vyote vinapanga siku ya kuanza mwaka wa masomo kulingana na programu zao kwa mwaka mzima kwa kutegemea raslimali walizonazo.
Alisema mwaka huu muda wa kufungua umesogezwa mbele kutokana na kubadilika kwa mfumo wa udahili wa wanafunzi.
Profesa Maghembe alisema mabadiliko ya mfumo huo wa udahili kulilenga kurahisha kazi hiyo pamoja na kuziba mianya ya wanafunzi kudahiliwa zaidi ya chuo kimoja na hivyo kuwanyima wanafunzi nafasi wenzao wanaotaka kujiunga na vyuo.
Alifafanua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ilitoa muda kwa watu waliotaka kuhamisha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga kura na kama wanafunzi hao hawakufanya hivyo serikali haina namna ya kuwasaidia ili waweze kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 31.
Wakati Profesa Maghembe akitoa msimamo huo wa serikali, juzi Nec nayo ilipigilia msumari wa mwisho baada ya kusema kuwa haitaweka utaratibu mwingine ili kuwawezesha wanafunzi wapatao 60,000 wa vyuo vikuu waliopo likizo kuweza kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 31, mwaka huu.
Kauli hiyo ya Nec ilitolewa juzi na Mkurugenzi wake, Rajabu Kiravu alipozungumza na Nipashe wakati akijibu hoja ya wanafunzi hao waliotaka kuwekewa utaratibu utakaowawezesha kupiga kura wakiwa likizo.
Wanafunzi hao na wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini ambao ni wapenzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walitoa malalamiko hayo jana kwenye kongamano ambalo lilijadili masuala ya Uchaguzi Mkuu.
Kadhalika, wanafunzi hao waliitaka serikali kufungua vyuo vya elimu ya juu ili kuwapa fursa wanafunzi kupiga kura kwenye maeneo waliyojiandikishia na kwamba kama itashindwa kufanya hivyo watakuwa wanawanyima haki yao ya msingi kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba.

CHANZO: NIPASHE

Siamini kama haya maneno yanatamkwa na Profesa Maghembe mwenyewe maana hayana tofauti na Profesa Maji Marefu au waganga wa kienyeji wanaojiita maprofesa.

Mimi nina maswali mawili rahisi kabisa kwa Mhe.Prof. Maghembe kwamba;
  1. Kama Chuo Kikuu wanajua siyo sehemu ya kufanya mambo ya Siasa kwanini NEC waliweka kituo cha kujiandikisha kupiga kura??????????????????
  2. Je,wanafunzi wa vyuo vikuu hawaruhusiwi kupiga kura kwasababu vyuo vikuu si maeneo ya siasa?
Kama Prof. Maghembe hana majibu na ninajua hana basi Wanafunzi wote wa vyuo vikuu wafungue kesi Mahakamani kudai haki yao ya kikatiba ya kupiga kura na ikiwezekana Mahakama ibatilishe matokeo yote kwenye maeneo ya vyuo vikuu kuwa hayatakuwa halali.

Ndugu zangu si dhani kama wizi ni kuchukuatu kile kisichokua chako bila idhini ya mwenye nacho, hata kumzuia anestahili kukipata kutokukipata pia umeiba.

Nasema haya nikihusianisha na suala la viuo vikuu kufunguliwa baada ya octoba 31 (siku ya kupiga kura). Kma tunavyojua wengi kama sio wote wa wanfunzi wa vyuo vikuu wanasifa za kupiga kura, na ni dhahiri kua ni mpango wa ccm kutokufungua vyuo vikuu kabla ya 31 oktoba ili wanafunzi hawa wasipige kura kwani kama wakipiga kura nyingi hazitakwenda CCM. Mfano kwa pale ubungo, nyingi zitakwenda kwa Mnyika (ubunge) na Dr Slaa uraisi.

Ushauri: Wanaharakati, vyama vya siasa, taasisi za haiki za binadam na sisi tulio na uchungu na nchi kwa nini tusiungane kutafta suluhu ya hawa vijana kupiga kura??

Kwa jimbo la ubungo, Mnyika nampa pole sana sababu kutofunguliwa chuo kikuu cha dar es salaam na uclas tayari wameshampotezea kura si chini ya 30,000.
 
Mi sitaki kujiunga na kundi linalolalama kwamba wanavyuo kwa kukomolewa kutoruhusiwa kuwa vyuoni wakati wa kupiga kura ndo iwe mwisho wao. Mimi nina mtazamo tofauti sana.

Ni kweli huko waliko wanalikomboa taifa kwa kuwaelimisha wananchi kuhusu ccm ilivyo which means kuna chachu huko inasambaa. Zaidi ya hapo mi natoa changamoto kwao popote walipo hata kama ni mbali kiasi gani, wahakikishe tarehe 31 wametia timu dar au popote pale walikojiandikisha wapige kura. Najua kuna usumbufu kufikia kwa ndugu au hata marafiki, washkaji, majirani nk, lakini fumbeni macho na muifikirie hiyo kama sacrifice ya ukombozi wa taifa hili. Ni kweli ukombozi unahitaji kujitoa kwa hali ya juu, na kujinyima, na kuingia mifukoni mwetu ikibidi. Kama vyuo vinafunguliwa tarehe 5, tafadhali tarehe 30 muwe kwenye maeneo ya vituo mlivyojiandikishia ili muwaonyeshe hao ccm kuwa hamdanganyiki wala hamuogopeshwi na njama zao, waonyesheni kwamba nyie mmesoma na elimu muloipata imewakomboa.

Fanyeni kazi ya uhamasishaji wa kuitoa ccm katika ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge na hgata urais popote mlipo, kampeni zikikamilika fungeni safari mrudi mkapige kura, hii ni haki yenu ya msigi na hasa kwa wakati huu ambapo kura yako ni muhimu sana kupita wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii, usikubali kuipoteza haki yako hii, kumbuka utakuwa na miaka mingine mitano ya kulalama na kutamani ungekuwa part ya mabadiliko. Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani bungeni. Fungeni safari mrudi mkapige kura.

Kumbukeni hata watawala wanajua umuhimu wa kura zenu na ndo maana wamewapiga changa la macho, kwa hiyo waonyesheni kwamba you cant be fooled easily, especially, we need you in ubungo to ensure that ccm haipati kitu na badala yake kati ya Mtatiro au Mnyika mmoja anaingia bungeni. Its up to you to choose between the two, no body can convince you better who is the best coz you all know better. Cha msingi ni kuhakikisha ccm ndio unakuwa mwisho wake.

BTW, kuna marathon ya wagombea wa jimbo la ubunge la ubungo jmos tarehe 9.10. ili kuhamasishisha vijana kuhusu michezo na kuwa fit, vilevile kuprove uwezo wa wabunge wetu watarajiwa n how fit they are. I expect to see you guys there.
God bless us.
 
Ndugu zangu si dhani kama wizi ni kuchukuatu kile kisichokua chako bila idhini ya mwenye nacho, hata kumzuia anestahili kukipata kutokukipata pia umeiba.

Nasema haya nikihusianisha na suala la viuo vikuu kufunguliwa baada ya octoba 31 (siku ya kupiga kura). Kma tunavyojua wengi kama sio wote wa wanfunzi wa vyuo vikuu wanasifa za kupiga kura, na ni dhahiri kua ni mpango wa ccm kutokufungua vyuo vikuu kabla ya 31 oktoba ili wanafunzi hawa wasipige kura kwani kama wakipiga kura nyingi hazitakwenda CCM. Mfano kwa pale ubungo, nyingi zitakwenda kwa Mnyika (ubunge) na Dr Slaa uraisi.

Ushauri: Wanaharakati, vyama vya siasa, taasisi za haiki za binadam na sisi tulio na uchungu na nchi kwa nini tusiungane kutafta suluhu ya hawa vijana kupiga kura??

Vijana wa elimu ya juu mnateseka sana hasa kwenye malipo ya masomo yenu. Sasa hivi wengi wenu mko 'field'/ 'intern'/ practical training. kama mmelipwa hizo pesa za field basi mjibane ili mpate nauli ya kwenda kupiga kura kwenye vituo vyenu. Watanzania, ndugu na jamaa tuwasaidie hawa vijana kwa hali na mali wapige kura - mimi ndugu yangu au jamaa yangu namruhusu afikie kwangu ili apige kura - akichagua kiongozi bora atakuwa kanisaidia mimi kumpa yeye vijisenti vya nauli na yeye mwenyewe kusoma bila shida.

CCM wanajua wamewatesa sana vijana hawa hivyo ni dhahiri hawatawachagua. Kwanza kusitisha kufungua vyuo ni kwamba CCM wamekomba pesa nyingi hazina kiasi kwamba si rahisi kuwalipa wote mikopo hivyo migomo ingeanza tarehe 9/10/2010.

Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu tuwasaidie hawa vijana kwa nauli na malazi angalau kwa siku mbili tu. Nanyi vijana kama mna mapenzi mema na nchi hii na mnajionea huruma basi tumieni sehemu ya field allowances zenu kwenda kupiga kura kitu ambacho ndio ukombozi wenu. Pesa zipo tu, mtapata nyingine nyingi zaidi ya hicho utakacho save kwa sasa!!!
 
Sidhani kama ni mimi pekeyangu, wengi tumesikia katka vyombo vya habari kua serikali imezidi kupigilia msumari suala la vyuo vikuu kutofunguliwa kabla ya uchaguzi.Hoja yake ni kua vyuo vikuu sio taasisi za masuala ya kisiasa bali sehem ya taaluma maalum (professonal). Pia ikaongezea kua, uchaguzi mkuu haujitu kwa kukurupuka bali ni mipango ambayo ipo kwa mda mrefu.

Hapa mimi nilipata maswali kadhaa, kama walipanga mapema kua vyuo havitafunguliwa kabla ya uchaguzi, ni kwa nini waliruhusu tume ya uchaguzi kufanya vyuo hivi kua vituo vya kujiandikisha kupiga kura?

Suala hili linapingana wazi na katiba ya Tanzania kwasababu linamnyima mtu huy haki ya kupiga kura, je kwa wanasheria, kimahakama za ndani ya nchi na hata kimataifa jambo hili lipoje?

Na hawa wanaoitwa ma international observers kutoka western world kwa nini hua hawazungumzii mambo kama haya, badala yake wanakujatu kuzungumzia athari zinazotokana nayo??

Nisaidieni.
 
Naungana na Carmel kuwa kitendo cha kuwanyima wanachuo nafasi ya kupiga kura kisiwe mwisho wa wanachuo kuwa chachu ya harakati za mapambano ya kuikomboa nchi yao. Wanayo nafasi ya kufanya mabadiliko ya muhimu huko waliko na wale wenye nafasi wanaweza kurudi na kupiga kura hasa katika jimbo la Ubungo (UDSM, Rwegalulila), Dodoma Mjini na Vijijini (UDOM), Moshi Mjini (MUCOBS) na Arusha Mjini (School of Accountancy, Arusha Technical).

Mi nashauri viongozi wa vyama vya upinzani hasa vijana waangalie ni namna gani wanaweza jointly kuhakikisha kuwa kura hazichakachuliwi hapo October 31. (I for one i am trying to get in touch na Mtatiro na Mnyika kuhakikisha kura za Ubungo zinalindwa kwa pamoja). Mimi naamini kampeni zinaweza kufanywa na mmoja mmoja lakini kulinda kura ni suala letu sote vijana kwa pamoja bila kujali unatoka chama gani.

Tutafute strategy ya kuhakikisha kila mwananchuo pale alipo anatumia nafasi yake kutoa elimu bora ya urai kwa ndugu zetu wa vijijini. Vijana amkeni. Tumieni simu zenu kutuma SMS na kupiga simu zile za bure za usiku kutoa elimu kwa ndugu zetu walio mbali.

Pamoja tutashinda na hakika VIJANA WA VYUO WALIO NYIMWA KUPIGA KURA WAWEZA KUWA CHACHU YA MABADILIKO HUKO WALIKO.

Mi sitaki kujiunga na kundi linalolalama kwamba wanavyuo kwa kukomolewa kutoruhusiwa kuwa vyuoni wakati wa kupiga kura ndo iwe mwisho wao. Mimi nina mtazamo tofauti sana.

Ni kweli huko waliko wanalikomboa taifa kwa kuwaelimisha wananchi kuhusu ccm ilivyo which means kuna chachu huko inasambaa. Zaidi ya hapo mi natoa changamoto kwao popote walipo hata kama ni mbali kiasi gani, wahakikishe tarehe 31 wametia timu dar au popote pale walikojiandikisha wapige kura. Najua kuna usumbufu kufikia kwa ndugu au hata marafiki, washkaji, majirani nk, lakini fumbeni macho na muifikirie hiyo kama sacrifice ya ukombozi wa taifa hili. Ni kweli ukombozi unahitaji kujitoa kwa hali ya juu, na kujinyima, na kuingia mifukoni mwetu ikibidi. Kama vyuo vinafunguliwa tarehe 5, tafadhali tarehe 30 muwe kwenye maeneo ya vituo mlivyojiandikishia ili muwaonyeshe hao ccm kuwa hamdanganyiki wala hamuogopeshwi na njama zao, waonyesheni kwamba nyie mmesoma na elimu muloipata imewakomboa.

Fanyeni kazi ya uhamasishaji wa kuitoa ccm katika ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge na hgata urais popote mlipo, kampeni zikikamilika fungeni safari mrudi mkapige kura, hii ni haki yenu ya msigi na hasa kwa wakati huu ambapo kura yako ni muhimu sana kupita wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii, usikubali kuipoteza haki yako hii, kumbuka utakuwa na miaka mingine mitano ya kulalama na kutamani ungekuwa part ya mabadiliko. Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani bungeni. Fungeni safari mrudi mkapige kura.

Kumbukeni hata watawala wanajua umuhimu wa kura zenu na ndo maana wamewapiga changa la macho, kwa hiyo waonyesheni kwamba you cant be fooled easily, especially, we need you in ubungo to ensure that ccm haipati kitu na badala yake kati ya Mtatiro au Mnyika mmoja anaingia bungeni. Its up to you to choose between the two, no body can convince you better who is the best coz you all know better. Cha msingi ni kuhakikisha ccm ndio unakuwa mwisho wake.

BTW, kuna marathon ya wagombea wa jimbo la ubunge la ubungo jmos tarehe 9.10. ili kuhamasishisha vijana kuhusu michezo na kuwa fit, vilevile kuprove uwezo wa wabunge wetu watarajiwa n how fit they are. I expect to see you guys there.
God bless us.
 
:smow: sioni tatizo la siasa na elimu kuambatana, kama na hivyo ni kwamba ukisoma basi wewe unakuwa tayri tu kuchaguliwa rais, au diwani au mbunge ambaye hata humtaki na hana manufaa kwako? Wanavyuo nao wanayo haki ya kumchagua kiongozi wanayemtaka kwa hio ni vema wakasikilizwa na kupawa nafasi ya kuchagua kiongozi wanayemtaka.Mnyika na Mtatiro kura zenu zinapotea shikilieni hili jamani.
 
katiba ya Tanzania hiyo, ibara ya 21:
21.-(1) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ya 5, ya 39 na ya 67
ya Katiba hii na ya sheria za nchi kuhusiana na masharti ya
kuchagua na kuchaguliwa, au kuteua na kuteuliwa kushiriki
katika shughuli za utawala wa nchi, kila raia wa Jamhuri ya
Muungano anayo haki ya kushiriki katika shughuli za utawala wa
nchi, ama moja kwa moja au kwa kupitia wawakilishi
waliochaguliwa na wananchi kwa hiari yao, kwa kuzingatia
utaratibu uliowekwa na sheria au kwa mujibu wa sheria.

Kweli serikali haijapindisha katiba hapa???
 
Back
Top Bottom