Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani.
Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao ni kwa kocha wa SENEGAL.
Kama una akili timamu,huwezi kumsema kocha yule kwa alichokifanya,kuna muda haki haibembelezwi lazima idaiwe kwa vitendo,haiwezekan VAR iwe kwa ajili ya mwarabu tu hasa kwenye FAIDA.
Watu weusi tujikubali,tupambanie haki zetu hata kwa vurugu.Morroco kila akie cheza nae kaacha hekaheka,yaan kama ile VAR imewekwa kwa kujinufaisha yeye.
NITAKUW MPUUZI WA MWISHO KUMLAUMU KOCHA WA SENEGAL,HAKI HAIJI KWA KUBEMBELEZANA.