Wengi watashindwa kupata jibu kwenye hii picha

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Wengi watashindwa kupata jibu kwenye hii picha !!!

1_20250405_104759_0000.png

Umeiona hiyo picha Kuna wanaume watatu wamebeba Gogo la mti ?? 😀 Wanapopeleka Mie sijui !!!!

2_20250405_104759_0001.png

Lakini Swali lako ni moja TU !! Inabidi utuambie Uzito wa ilo Gogo lililobebwa liko kwenye herufi Gani ?? Wakati Gogo limebebwa na Watu Watatu ??

Yani Jibu lipo ndani ya sekunde 5 ty 😉 Lakini Mpaka muda huu wewe umeshindwa kuniambia Jibu ni lipi kweli ?
 
Wengi watashindwa kupata jibu kwenye hii picha !!!

Umeiona hiyo picha Kuna wanaume watatu wamebeba Gogo la mti ?? 😀 Wanapopeleka Mie sijui !!!!

Lakini Swali lako ni moja TU !! Inabidi utuambie Uzito wa ilo Gogo lililobebwa liko kwenye herufi Gani ?? Wakati Gogo limebebwa na Watu Watatu ??

Yani Jibu lipo ndani ya sekunde 5 ty 😉 Lakini Mpaka muda huu wewe umeshindwa kuniambia Jibu ni lipi kweli ?
B ndio kalibeba!
 
Mwanangu namba C anasinzia kwenye kaz
 
Back
Top Bottom