Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
B ndio kalibeba!Wengi watashindwa kupata jibu kwenye hii picha !!!
Umeiona hiyo picha Kuna wanaume watatu wamebeba Gogo la mti ?? π Wanapopeleka Mie sijui !!!!
Lakini Swali lako ni moja TU !! Inabidi utuambie Uzito wa ilo Gogo lililobebwa liko kwenye herufi Gani ?? Wakati Gogo limebebwa na Watu Watatu ??
Yani Jibu lipo ndani ya sekunde 5 ty π Lakini Mpaka muda huu wewe umeshindwa kuniambia Jibu ni lipi kweli ?
πππKaka darasa ulikua unakaa Maeneo GaniA kutokana na urefu kuzidi wote
πππ Ulikua unapenda Combi Gani O levelMan C
Wakati huyo anaweza hata kutegea na bado mzigo ukabalanceHapo aliyebeba mzigo kuliko wote ni mtu B. Period.