Wengi wenu mlioko kwenye group hii huwa hamna kazi ya kufanyaa!!!?

Wengi wenu mlioko kwenye group hii huwa hamna kazi ya kufanyaa!!!?

Na wewe mmoja wapo huna la kufanya ndio mana ukapost humu!!
 
tatizo hasa ni nini kama hatuna kazi ya kufanya?
 
shauri yako wenzako tunakula buku 7 kila siku
 
kwa ulichokiandika unaonekana huna kazi wewe
 
Kwanza umeona jina lake?huyu ndo wale wanaomtetea J kpy!sijui alitaka abakwe yeye?kwan yeye kafuata nini humu?yani kiherehere chake hasa ni nn?div 5 mkubwa we!
 
Kazi unayo wewe bhana...............ila sina uhakika kama akili zako ziatakuwa na akili..!!!
 
Back
Top Bottom