Wengi wenu mlioko kwenye group hii huwa hamna kazi ya kufanyaa!!!?

Na wewe mmoja wapo huna la kufanya ndio mana ukapost humu!!
 
tatizo hasa ni nini kama hatuna kazi ya kufanya?
 
We dont work for money, money works for us. Shaurilo!
 
shauri yako wenzako tunakula buku 7 kila siku
 
kwa ulichokiandika unaonekana huna kazi wewe
 
Kwanza umeona jina lake?huyu ndo wale wanaomtetea J kpy!sijui alitaka abakwe yeye?kwan yeye kafuata nini humu?yani kiherehere chake hasa ni nn?div 5 mkubwa we!
 
Kazi unayo wewe bhana...............ila sina uhakika kama akili zako ziatakuwa na akili..!!!
 
Du kweli,Leo nimejaribu kupitia jukwaa hili,imebidi nicheke sana hasa ktk Uzi huu...,Hongera zenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…