Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto.
Wengi jambo hili litawachekesha lakini picha mtaipata ukubwani, mtakapobalehe mtagundua kuwa na maanisha nini.
Sasa hivi habari iliyopo mtaani ni baridi kali tutegemee mimba za watu maarufu kama maraisi, mawaziri, waalimu, wanasheria, watawa, wafanyabiashara, madaktari, wanasayansi kutungwa kipindi hichi cha baridi.