Je wewe ni transgender? Maana naona jina lako ni Mr. Why lakini umetungwa mimba.Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto.
PApai hiki😁😄Je wewe ni transgender? Maana naona jina lako ni Mr. Why lakini umetungwa mimba.
Hebu fafanua please.
Nahisi hujamuelewa..!! Si kwamba yeye alipewa mimba na mtu, bali yeye kuwa mimba au kuwekwa tumboni mwa mama yake.Je wewe ni transgender? Maana naona jina lako ni Mr. Why lakini umetungwa mimba.
Hebu fafanua please.
SI classmateTobaaa
... mama yake kutungwa mimba basi na sio yeyeNahisi hujamuelewa..!! Si kwamba yeye alipewa mimba na mtu, bali yeye kuwa mimba au kuwekwa tumboni mwa mama yake.
Ndugu yangu wewe ni muelewa sana, hawa jamaa zangu hawakunielewa nilimaanisha nilitungishwa tumboni mwa mama yangu wao wamegeuza, asee wabongo kwenye kiswahili kuna nini? Mbona mnageuzaga maana?Nahisi hujamuelewa..!! Si kwamba yeye alipewa mimba na mtu, bali yeye kuwa mimba au kuwekwa tumboni mwa mama yake.
Lugha gonganaNilipokuwa mdogo nilitungwa mimba ndipo nikawa binadamu kamili, au wewe uliletwa na mafuriko ndugu yangu