GE2025 Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam muda huu, leo (Ijumaa, Novemba 07.2025) washtakiwa wengine 95 wamefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa mashtaka mawili ya uhaini

Shtaka la kwanza ni kupanga njama za kutenda la uhaini ambapo inaelezwa kuwa kati ya Aprili hadi Oktoba 29 mwaka huu washtakiwa walikuwa wanakula njama za kutenda kosa hilo, shtaka la pili ni kutenda kosa la uhaini kwa kuitishia serikali na kufanya vurugu kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, na hivyo washtakiwa walifanya vurugu zilizosababisha pia uhalibifu wa mali

Kwa ujumla, watuhumiwa 240 wamefikishwa Mahakamani hapo leo na kusomewa mashtaka ya uhaini.

Pia soma GE2025 - Watu 9 washtakiwa kwa Uhaini Makambako, idadi yafikia watuhumiwa 196 nchi nzima

Poa
 
Ripoti za CAG zimejaa wahain miaka nenda miaka Rudi mbona hawakamtwi Wala kuhukumiwa ?. Uchafu kabisa.
 
Cha kushangaza wanaoiba kura na kujitangaza wameshinda kihuni ndiyo wanakuwa wametenda uhaini ila msala anaenda kupewa yule anayekemea kitendo hicho.

Tumefanya siasa kuwa ni jinai. Kuna mtu aliwahi kusema "Ukweli ni uhaini katika himaya ya uongo"
 
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam muda huu, leo (Ijumaa, Novemba 07.2025) washtakiwa wengine 95 wamefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa mashtaka mawili ya uhaini

Shtaka la kwanza ni kupanga njama za kutenda la uhaini ambapo inaelezwa kuwa kati ya Aprili hadi Oktoba 29 mwaka huu washtakiwa walikuwa wanakula njama za kutenda kosa hilo, shtaka la pili ni kutenda kosa la uhaini kwa kuitishia serikali na kufanya vurugu kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, na hivyo washtakiwa walifanya vurugu zilizosababisha pia uhalibifu wa mali

Kwa ujumla, watuhumiwa 240 wamefikishwa Mahakamani hapo leo na kusomewa mashtaka ya uhaini.

Pia soma GE2025 - Watu 9 washtakiwa kwa Uhaini Makambako, idadi yafikia watuhumiwa 196 nchi nzima

View attachment 3498690
07 November 2025
Dar es Salaam, Tanzania

Another 95 Tanzanians are charged with treason case this evening, bringing the total number of suspects nationwide to 291.​

From the Kisutu Resident Magistrate's Court, Dar es Salaam, today (Friday, November 07.2025) another 95 accused persons have been brought before Kisutu magistrates court are charged with two counts of treason.

View: https://m.youtube.com/watch?v=o9jY1KrvN3w
The first charge is conspiring to commit treason, where it is stated that between April 2025 and October 29, 2025 this year the accused persons were conspiring to commit the offense, the second charge is committing the offense of treason by threatening the government and causing violence with the aim of preventing this year's 2025 Tanzanian general elections, and thus the defendants committed violence that also caused damage to property.

In total, 240 defendants have been brought to court today and are accussed of committing treason
 
Hatua hiyo tumeshafika
Naelewa ila naongelea hatua ambayo mtu anapelekwa mahakamani, anakataa wakili, bila kupepesa macho anakubali anachotuhumiwa hapohapo halafu anamwambia hakimu au jaji, nipe hukumu yangu mambo mengine yaendelee. Tutafika huko.
 
Cha kushangaza wanaoiba kura na kujitangaza wameshinda kihuni ndiyo wanakuwa wametenda uhaini ila msala anaenda kupewa yule anayekemea kitendo hicho.

Tumefanya siasa kuwa ni jinai. Kuna mtu aliwahi kusema "Ukweli ni uhaini katika himaya ya uongo"

Mkuu utashangaa mengi nchi hii....Raisi Kashinda kwa 98% bado anaogopa waliomchagua!
 
Back
Top Bottom